wana chit chat wa dar mbona mnakuwa hivo jamani...

Onesha hizo written evidence!

Jamani unataka real evidence kabisa ama??!
Kesi hii ya defamation yahitaji tu written evidence na ipo apa apa jeiefu sa unataka nn tena wakili??!
Au ndo ushahongwa mkuu??!
 
Onesha hizo written evidence!

By Mentor
Jamani unataka real evidence kabisa ama??!
Kesi hii ya defamation yahitaji tu written evidence na ipo apa apa jeiefu sa unataka nn tena wakili??!
Au ndo ushahongwa mkuu??!
Nenda kule kwenye uzi wake mwenyewe wa salamu kutoka kwa Erickb52....uone alivoni defame kwa maneno ya uongo tena mbele ya mke wangu...
 
Last edited by a moderator:
Hii ni moja ya kazi ya defendant.
Kwa hiyo wewe unatakiwa uniletee huo ushahidi.

Back
Top Bottom