wana chit chat wa dar mbona mnakuwa hivo jamani...

C6 kwa nini umemkimbia mgeni wako Erickb52? Mgeni anasema anakuja kwako na taarifa katoa siku 3 kabla still you running away? Sasa ww umeingia mji wa wenyewe na mikwara na malalamiko as if uliwaambia unaenda! Nway C.L. atamliwaza Erickb52.
Erickb52 namwangalia tu, mama mjazimzito atampeleka wapi? kwanza Cl mwenyewe kachooka hata kutembea hawezi
 
Last edited by a moderator:
Ujanja wa Madame B ni sawa na wa tundu la choo, linaangalia kitokacho lakini halina ujanja wa kufaudu japo kugusa. Chezeya kufaidi kwa macho a.k.a chabo?

Hv we Asprin yule jimama ndio amekuteka hivi?
Una wiki huonekani mkekani.
Kweli Kiingiacho mjini si haramu.
 
Last edited by a moderator:
mnanifanya nijisikie mpweke, nisiye na ndugu, mko wapi jamani, ina maana mpaka nitoke jijini sijamuona hata mmoja? jamani mnikaribishe makwenu jamani
Dah mkuu C6 pole sana ila mbon hukutoa taarifa mapema??!
Mimi leo sivuki maji so kama vp unaweza ukaja uku Long Island ya bongo utaniona. Nipo kiusaf zaid mpaka mida ya tatu ivi then freeeee mpaka tisa unusu nenda kucheki game....leo mpaka mat.ako yaumie maana ni bandika bandua.
 
Last edited by a moderator:
Ujanja wa Madame B ni sawa na wa tundu la choo, linaangalia kitokacho lakini halina ujanja wa kufaudu japo kugusa. Chezeya kufaidi kwa macho a.k.a chabo?

Ayaaaa...sasa how does she give him a Betty??!
Au ndo ile akimaliza aatafuta toothpick??!
Goodmorning Madame B...love ya!
 
Last edited by a moderator:
Hata uwe vipi mkono wa sweta ni mkono wa sweta tu! Hivi unakupendezea eeh? We mbaya!

Na tena natisha kama njaa.
Nilitoaga bango kule LV Connect kuwa natafuta mchumba mwenye mkono wa Sweta.
Nashangaa hakujitokeza hata mmoja,
Wakati humu Mmejaa kibao hasahasa ile Mikoa yetu pale kati.
 
Ujanja wa Madame B ni sawa na wa tundu la choo, linaangalia kitokacho lakini halina ujanja wa kufaudu japo kugusa. Chezeya kufaidi kwa macho a.k.a chabo?

Khaa! Disgusting! Is this true MADAME?
 
Last edited by a moderator:
By Mentor
Ayaaaa...sasa how does she give him a Betty??!
Au ndo ile akimaliza aatafuta toothpick??!
Goodmorning Madame B...love ya!

hahahahahaha.
Morn 2U Mentor!!
Mmmh umekwepa kujibu swali anyway kipendacho roho...
Sasa madame b si upokee simu apo ama huoni inaita??!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh umekwepa kujibu swali anyway kipendacho roho...
Sasa madame b si upokee simu apo ama huoni inaita??!

...hula nyama mbichi.
Umepiga kwenye Line gani?
Simu ziko Kitandani nimezifunika shuka zimekumbatiana huku zimelala.
NOKIA- HE
SAMSUNG-SHE
TECNO-SHEMALE ila amemlalia BLACKBERRY-L*SBO
 
...hula nyama mbichi.
Umepiga kwenye Line gani?
Simu ziko Kitandani nimezifunika shuka zimekumbatiana huku zimelala.
NOKIA- HE
SAMSUNG-SHE
TECNO-SHEMALE ila amemlalia BLACKBERRY-L*SBO

:fencing::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom