Wana Chemba na Wana East Zu Dodoma

MwanaChemba East Zu

New Member
Jul 17, 2021
4
7
Salamu ndugu zangu na wakubwa shikamooni.

Kutokana na kifo cha Albert Mangewa na Mez B pia kiongozi Noorah hafanyi tena music sababu za familia.

Wanachemba tuko wengi sana na tunaweza chama letu lifahamike Dunia nzima.

Nashauri Dark Masta awe kiongozi wetu
 
Wewe ni mwanachemba halisi ama? Huyu ndiye atakuwa nembo ya kudumu
IMG_3558.jpg
 
Back
Top Bottom