Wana CHADEMA wenzangu, mara hii tumesahau ya November 26 na ya Chaguzi za nyuma?

Nataka kuamini Lowasa kaiweka Chadema mfukoni. Tunaambiwa mazungumzo yake na Magufuli yamelegeza misimamo ya serikali. Huu utoto wa hali ya juu. Lini serikali imetoa tamko kwamba inakiri mapungufu?kma ajenda ilikuwa njema why alienda pekeyak
 
Maswali yangu ni haya:
1.Tume ya Uchaguzi imebadilika?
Kama haijabadilika,tumejipangaje?

2. Wakurugenzi na watendaji wa Kata watakuwa fair safari hii?
Kama hawatakuwa fair,tumejipangaje?

3. Tumejipanga vipi kukabiliana na wale wavaa sare tunaowalalamikia kila kukicha?

4. Tumejipanga vipi kukubaliana na maagizo kutoka juu?

5. Je, mnajua jamaa zetu safari hii watakuja na mbinu gani?

6. Chama chetu kimejipangaje japo inaweza kuwa ni siri yao?

7. Tunaikabili vipi sheria ya mita 200?

8. Tumejipanga na tuko tayari kukusanya na kuchukua ushahidi kwa gharama yoyote ile na katika mazingira yoyote yale?

9. Tuna uhakika Mawakala wetu wote hakuna watakoweza kurubuniwa na vipande 30 vya fedha?

Mwisho:
Kwakuwa tumekubali kuingia katika kinyang'anyiro hiki,nashauri wabunge wa chama wa mikoa ya Dar-es-Salaam na Kilimanjaro pampja na wa mikoa ya jirani(kama ikibidi) na hata vingozi wa juu wa chama kama itabidi pia, ndio wawe mawakala kwenye huu uchaguzi.

Wagombea/mgombea mzuri ni jambo moja na kushinda uchaguzi ni jambo lingine kwa nchi zetu hizi za kiafrika.

Onyesha kadi yako ya chadema usipoionyesha wewe ni mwanamke mjane
 
Sasa mtaendelea kususa uchaguzi hadi lini? Huoni kama hii ni kuwanyima wananchi fursa ya uchaguzi, kwa sababu wanakua hawana option kiasi cha kususa kupiga kura?

Vita haikimbiwi, inapiganwa.
Pambaneni na ma CCM hadi kieleweke. Ukisusa, wenzako wala!!!
Wanasusa pale wanapojua watagalagazwa mchana kweupe,yote hiyo ya sijui tume ni kuogopa kuambulia patupu ,sijui wataogopa hadi lini
 
Sasa mtaendelea kususa uchaguzi hadi lini? Huoni kama hii ni kuwanyima wananchi fursa ya uchaguzi, kwa sababu wanakua hawana option kiasi cha kususa kupiga kura?

Vita haikimbiwi, inapiganwa.
Pambaneni na ma CCM hadi kieleweke. Ukisusa, wenzako wala!!!
Gedere asusiwi SHAMBA utalala njaa wapambane tu maana ni kuwanyima haki wapiga kura.
 
Bro hiki chama siku hizi cha hovyo sana

Halafu wakishindwa wanakuja kulialia tume sio huru

Kilichopaswa kufanywa ni kisusia chaguzi chini ya tume hii na kuwa na plan inayoeleweka kutia presha tume huru
Kususa sio dawa unampa nguvu mpinzani wako wapambane tu kuwapa haki wapiga kura
 
Nataka kuamini Lowasa kaiweka Chadema mfukoni. Tunaambiwa mazungumzo yake na Magufuli yamelegeza misimamo ya serikali. Huu utoto wa hali ya juu. Lini serikali imetoa tamko kwamba inakiri mapungufu?kma ajenda ilikuwa njema why alienda pekeyak
Hiki chama kimekuwa cha hovyo sana
How comes wanakosa msimamo hivi
Lowasa na magufuli kwa pamoja wanawachezea wanavyotaka.
Mbowe anakiharibu sana chadema..huo ndo ukweli
 
Maswali yangu ni haya:
1.Tume ya Uchaguzi imebadilika?
Kama haijabadilika,tumejipangaje?

2. Wakurugenzi na watendaji wa Kata watakuwa fair safari hii?
Kama hawatakuwa fair,tumejipangaje?

3. Tumejipanga vipi kukabiliana na wale wavaa sare tunaowalalamikia kila kukicha?

4. Tumejipanga vipi kukubaliana na maagizo kutoka juu?

5. Je, mnajua jamaa zetu safari hii watakuja na mbinu gani?

6. Chama chetu kimejipangaje japo inaweza kuwa ni siri yao?

7. Tunaikabili vipi sheria ya mita 200?

8. Tumejipanga na tuko tayari kukusanya na kuchukua ushahidi kwa gharama yoyote ile na katika mazingira yoyote yale?

9. Tuna uhakika Mawakala wetu wote hakuna watakoweza kurubuniwa na vipande 30 vya fedha?

Mwisho:
Kwa kuwa tumekubali kuingia katika kinyang'anyiro hiki,nashauri wabunge wa chama wa mikoa ya Dar-es-Salaam na Kilimanjaro pamoja na wa mikoa ya jirani(kama ikibidi) na hata vingozi wa juu wa chama kama itabidi pia, ndio wawe mawakala kwenye huu uchaguzi.

Wagombea/Mgombea mzuri ni jambo moja na kushinda uchaguzi ni jambo lingine kwa nchi zetu hizi za kiafrika.
 
Zinapanda timu Sita halafu zinashuka timu mbili!!!
Huu mfumo wa wapi?
Kwa mwendo huu Soka letu linakwenda mbele au linarudi nyuma?
 
kujipanga ni kazi ya wapiga kura wakiamuwa kumwaga mboga na ugali ni wao siyo kazi ya chama anaye zulumiwa ni mpiga kura!!
wakiamuwa hawata zulumiwa tena hawata zulumiwa milele!!
 
Zinapanda timu Sita halafu zinashuka timu mbili!!!
Huu mfumo wa wapi?
Kwa mwendo huu Soka letu linakwenda mbele au linarudi nyuma?

kwani lini soka la bongohuwa linaenda mbele?
lengo ni kuongeza timu ziwe 20 msimu ujao,sasa ili zitimie 20 kutoka 16 .
kwahiyo zitasuka 2 ili zibaki 14 halafu zinaongezeka 6 ili zitimie 20.
 
Ukawa wap? Maamuz ya kutoshiliki yalifanywa p1.maamuz ya kushiliki yamefanywa na kamati
 
Tuliwaambia mkisusa sisi twala sasa mmejileta tuwapige nyingine kama Arumeru
Nami nasema wapigwe hata kwa magoli ya mkono. Tunao watanganyika wakutosha kutuwakilisha, hatuhitaji expatriate representatives from zanzibar. Wanalo baraza lao huko, na huyu alikataliwa huko.
 
Nataka kuamini Lowasa kaiweka Chadema mfukoni. Tunaambiwa mazungumzo yake na Magufuli yamelegeza misimamo ya serikali. Huu utoto wa hali ya juu. Lini serikali imetoa tamko kwamba inakiri mapungufu?kma ajenda ilikuwa njema why alienda pekeyak
Ulitaka alazimishe kwenda na mtu ambaye hakualikwa? Rais alimwalika Lowasa hakuwaalika CHADEMA (kwa mujibu Wa taarifa iliyotolewa) kuuliza kwanini amekwenda peke yake nadhani hilo swali halina mantiki.
 
Unayosema ni kweli lakini kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika magufuli/mzee wa frastrations alipata kura 54000 tu dar na kule kwa nyarandu aloshinda alipata karibia na nusu ya kura za 2015. Ambacho ccm hawakukijua hapo awali ni kuwa kusimamisha walewale kina mtulia itakiwa rahisi kwa kuwa cdm watasusia so itakuwa rahisi. Sasa kwa uamuzi huu na kwa political nature ya haya majimbo itakuwa shughuli kwelikweli. Mashhofu mkuu
ccm must die
 
Kama waliweza kumsafisha Lowassa na kula matapishi yao wanashindwaje kujisahaulisha kuwa walisusia uchaguzi. The point ni kwamba walikosa cha kuwaambia wanachama wao wajaamua kujifanya wamesusa.
Wanasiasa ni wengi lakini Lowassa kiboko!!!khaa,,,amegeuza nyeusi kuwa nyeupe mbele ya kamanda mkuu wote kimyaaaa!.hatari mkuu.
 
Back
Top Bottom