Ndugu zangu wanachadema kila jambo linalotokea linakusudio la Mungu, lakini kwakuwa sisi wanadamu dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu hata hushindwa kuziona ishara za Mungu kwetu wanadamu zenye kutuletea mafanikio ama Neema.
Binafsi nimewaza sana kwa hili lililopo mbele la Mh. Mbowe kuwekwa lock up bila dhamana nikahisi pengine ni uonevu ama hila chafu za kikundi fulani kama tunavyoaminishwa na wasaidizi wake mbowe.
Nilipokabidhi fikra zangu rohoni kunifunulia, ndipo nikagundua pengine ni kusudio la Mungu Mtu huyu awekwe lock up na Chadema tufanye uchaguzi huru na kupata viongozi wapya ambao wataleta siasa safi zenye lengo la kuliletea maendeleo Taifa letu mama Tanzania.
Baada ya kuwaza hivyo na nikichukulia kila kipindi cha uchaguzi wa chama huyu Mtu anashinda kwa kubadili vipengere ambavyo vitamlinda yeye na genge lake, ndo nikaamua nishare nanyi ili kuona niwangapi ama mnawaza au kufunuliwa kama Mimi.
Pando upandalo Leo ndilo utakalovuna Kesho. Naombeni mawazo yenu wanamemba.
Sent using Jamii Forums mobile app