Wana Chadema chuki dhidi ya Waitara zitawasaidia nini? Kuisambaratisha ngome yenu tarime isiwe nongwa, kama katoswa muacheni kivyake.

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?

Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
 
Hii nini sasa?
Screenshot_20220110-154620.png
 
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?

Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Hivi kumbe Idugunde ndo Waitara? Kweli Una mawazo ya kilevilevi.
 
Kwenye ule UCHAFUZI uliokuwa directed na Mwendakuzimu unadhani ndio kuisambaratisha Chadema Tarime?
Moja ya hizi siku tembelea Tarime
 
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?

Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Kama tuliomuokoa kwenye kazi ya kimpikia Chai Nchimbi tunawezaje kumchukia ?

Wanasiasa_tuache_kucheza_na_Madhabahu_ya_Mungu..!...%C2%A0lis%C3%A4%C3%A4.jpg
 
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?

Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Unamaanisha kuwa kasambaratisha mchupa wa K- Vant ama ngome?
 
Mk
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?

Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Mkataba alioingia na wanajijani umekwusha, akumbuke Ile maana ya malipo hapa hapa duniani.
 
Kwa jinsi ulivyoandika Kwa uchungu hapa bila shaka wewe ni Mwita Waitara 😂😂😂
 
Mnunuzi wao mkuu nae amekula red card,ameamua jujiajiri kwenye katuition center kake baada ya shule yake kupigwa grader 🤸.
Anazuga tu na katuition center jamaa ana mkwanja wa nguvu. Ile hela ya manunuzi haikuwa na marejesho pia anazopewa si anazowalipa wanunuliwa.
 
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?

Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.

Msituhusishe sisi kwenye mambo yenu:
IMG_20220110_071335_038.jpg
 
Hakujua kuwa CCM ina wenyewe
Hata jiwe aliingia kichwa kichwa hakujua ccm Ina wenyewe walikuwa wanamchora tu,check alivyoacha wajane kibao awaamini covid-19, waunga juhudi,chawa wa Magu, sukuma gang safarii ndio ishaisha hiyo.
Waungane waanzishe magufuli part
 
Back
Top Bottom