Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.

Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.

Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani maana tunaenda kuliwa. Bora ikifika 2025 taifa lipate ukombozi.
Pia hakuna aliyesahau upigsji WA Til 1.3 za Assad

Screenshot_20211226-073313.png


Screenshot_20211226-073404.png


Screenshot_20211226-073333.png
 
Back
Top Bottom