Wana ccm wengi kutipiga kura, nikutokana na kukata tamaa

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Habari hii ndio inawaumiza vichwa lumumba baada ya kupata habari kutika kwa viongozi wao wa vijiji na kata kwamba wanachama wengi hawana imani na ccm.

Sababu kubwa ni kwamba wanachama hao wamekuwa wanyonge kutokana na kuzomewa pale wanapovaa jezi ya chama chao.

Sababu nyingine ni kwamba kila panapotokea mkusanyiko mdogo, watu wa ukawa ni wengi kuliko wao, kitu ambacho ni tofauti na miaka iliyopita jambo lililowakatisha tamaa.

Hali hii imeifanya team kampen ya ccm kurusha matangazo yao startv ya kuonesha umati wa watu na kwenye magazeti ili kuwapa matumaini. Mpaka sasa kuna magazeti 4 mapya yamesajiliwa kwaajili ya kazi hiyo jambo ambalo halija fanikiwa kuwashawishi kwani wengi wao huwa hawapati habari hizo kutokana na pilikapilika nyingii.

Sababu nyingine ni kutokuwa na iman na wanaccm wenyewe ambao mchana ni ccm, usiku ni ukawa.
 
Back
Top Bottom