Wanapenda sana kulaliana. Uhuni mtupu watu wazima hovyo! Au ndiyo wale aliosema Karume kuwa wana ubongo wa pelege? Kile kibabu kimbea nacho kiitwacho Yusuf Makamba eti kinadanganya kuwa kuna wakati kilikuwa kikichagua kiongozi wa kanisa. Kinaongopa mchana na watu wanakisikiliza na kukenua. Shame on you CCM!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.