Wana CCM Washangilia kwa Style Mpya(Picha)

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
wakati wa sherehe za jana.....

22.jpg
 
At least they are doing something differently. Usikue wanataka kujisajili kama timu ya mpira? Maana miujiza haiwaishii hawa
 
Wanapenda sana kulaliana. Uhuni mtupu watu wazima hovyo! Au ndiyo wale aliosema Karume kuwa wana ubongo wa pelege? Kile kibabu kimbea nacho kiitwacho Yusuf Makamba eti kinadanganya kuwa kuna wakati kilikuwa kikichagua kiongozi wa kanisa. Kinaongopa mchana na watu wanakisikiliza na kukenua. Shame on you CCM!
 
Style gani hizi, hapa si ndo mwanzo wa kuchobeana, angalia huyo jamaa wa pili alovua kofia....antenna imesisimama. Balaaa
 
Tatizo wanaccm wengi wana akili za samaki,waache tu waliwe kichwa 2015.Watalala sana Segerea!
 
Style gani hizi, hapa si ndo mwanzo wa kuchobeana, angalia huyo jamaa wa pili alovua kofia....antenna imesisimama. Balaaa
Ha ha ha We kweli kiboko, umeiona hiyo?
Lakini ndo sera sahihi za chama, haki sawa kwa wote?
 
Hawa nao!!Hata mvua zikinyesha tuwaone wakilaliana hivi hivi kwenye matope!!!
 
Back
Top Bottom