Kama speaker anachaguliwa na wabunge, wabunge wa Magufuli watamchagua speaker aliye kinyume na mama kwa maana wanajua awatorudi tena bungeni mwisho wao ni 2025.
Hakuna aliyeshinda kwa nguvu zake wote hao ni asante magufuli.
2025 kama watz tunakwenda kuchagua wawakilishi wetu kwa haki, wabunge chaguo la wananchi.
 
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania

Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick Nkamaha. Mchakato huu umeanza baada ya CCM kutangaza kutaka muwakilishi kugombea nafasi iliyoachwa na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai

  • Patrick Nkamah
  • Stephen Masele
  • Tulia Ackson Mwansasu
  • Godwin Kunambi
  • Hamidu Ubaidi Chamani
  • Joseph Kasheku Musukuma
  • Mussa Azzan Zungu
Ngoja tupate spika muuza bange tuone itakuwaje
 
tulia hatakiwi kupewa uspika!!, inamaana gani yy ni naibu halafu bado ameenda kutaka kuwa spika,hiyo nafasi ya unaibu angejiuzuru kwanza ,ndo agombee huo u spika!! Watu Kama hawa ni hovyo kqbisa.na cccm mkimchqgua huyu tulia basi ,mtakuwa na matatizo kwenye medula oblangata zenu,wallah !!!!
 
Kwani Tulia si naibu spika,

Haoni kama ataaanza kuleta mchakato mwingine wa kutafuta naibu?
 
Tulia anaweza akawa vizuri
Ila sasa
Raisi awe ke
Spika awe ke
Mawazir sekta nyeti wengi ke

Hapana kwa kweli
 
Huyu Tulia baada ya Statement zake za leo tutegemee Bunge kutokuwa tu a Rubber Stamp bali hio Stamp itakwenda kabisa Ikulu ili wamalize huko huko hakuna haja hata ya ku-consult Bunge
SPIKA ALIKUWA SAMWELI SITA.ALIENDESHA BUNGE LA WANANCHI.ALIPENDWA SANA KWASABABU HAKUEGEMEA UPANDE WA SERIKALI,ALISIMAMA NA WANANCHI.
 
Wamepiga hesabu ya mshahara mnono wa spika, marupurupu na hata marupurupu baada ya kustaafu sasa wanakimbilia kugombea uspika kwa ajili ya matumbo yao.

Hatujasikia hata MwanaCCM mmoja akisema kwa moyo wa dhati kuwa atasimamia katiba ya JMT na kuisimamia serikali kwa maslahi ya wananchi. Kuisimamia na kuidhibiti serikali ili kuwa na bunge lenye meno ndio sifa ya spika anayetakiwa. Lakini wote wanachukua fomu kwa ajili ya matumbo yao tu na sio kwa ajili ya wananchi.

Hii CCM ya leo sio kwa ajili ya kulinda na kusimamia maslahi ya wananchi.
 
Siyo kazi ya wanaCCM au viongozi kulinda maslahi ya wananchi. Usiwalazimishe.

Kila binadamu hupigania na kulinda maslahi yake kwanza. Mengineyo ni lugha za kisiasa tu. Mfano, jitazame wewe mwenyewe. Unapigania maslahi ya nani? Ninaamini hata yale ya jumla utapenda yale yanayokunufaisha wewe pia. Mfano barabara utapenda ipite kwako, maji yafike kwako, nk.

Katiba na sheria bora pekee ndivyo vyombo vya kulinda na kupigania maslahi ya jumla ya wananchi. Ndiyo maana tunawaapisha viongozi wailinde katiba na kuzitii sheria.

Nikupe pole kama umeiweka akili yako kuwategemea wanaCCM walinde maslahi ya wananchi. Pole sana.
 
Hatujasikia hata mwanaCcm mmoja akisema kwa moyo wa dhati kuwa atasimamia katiba ya JMT na kuisimamia serikali kwa maslahi ya wananchi.

Kuisimamia na kuidhibiti serikali ili kuwa na bunge lenye meno ndio sifa ya spika anayetakiwa. Lakini wote wanachukua fomu kwa ajili ya matumbo yao tu na sio kwa ajili ya wananchi.
 
Mkuu utajisumbua bure tu. Hata ungekuwa ni wewe unachukua hiyo fomu kwa mifumo iliyopo ungekuwa unapigania tumbo lako tu na wanao tusidanganyane.

Kuna mwanasiasa nchi hii anayepigania maslahi ya taifa/wananchi? Nani? Kwa maoni yangu labda Nyerere peke yake ndiye alijaribu sana kuwa mwadilifu kabisa kabisa!

Kwanza ukijitia uadilifu katika nchi hii ukija kuachia madaraka watu hao hao uliokuwa ukiwapigania wanakucheka. Utaitwa boya uliyeshika madaraka makubwa halafu ukaondoka bila kujitajirisha. Na kwa huo uadilifu wako eti unapigania wananchi utakufanya ufe mapema tu kabla ya siku zako!

Acha watu wale bana. Na wewe zamu yako ikifika kula tu.

Ila katiba mpya ni lazima! Kuna ujinga mwingi sana ndiyo maana inafika mahala watu wanajisahau kuwa nao ni wanadamu tu wenye damu na nyama!
 
Wamepiga hesabu ya mshahara mnono wa spika, marupurupu na hata marupurupu baada ya kustaafu sasa wanakimbilia kugombea uspika kwa ajili ya matumbo yao.

Hatujasikia hata mwanaCcm mmoja akisema kwa moyo wa dhati kuwa atasimamia katiba ya JMT na kuisimamia serikali kwa maslahi ya wananchi. Kuisimamia na kuidhibiti serikali ili kuwa na bunge lenye meno ndio sifa ya spika anayetakiwa. Lakini wote wanachukua fomu kwa ajili ya matumbo yao tu na sio kwa ajili ya wananchi.

Hii CCM ya leo sio kwa ajili ya kulinda na kusimamia maslahi ya wananchi.
Ccm haijawahi kuwapigania wananchi.
 
Mkuu utajisumbua bure tu. Hata ungekuwa ni wewe unachukua hiyo fomu kwa mifumo iliyopo ungekuwa unapigania tumbo lako tu na wanao tusidanganyane. Kuna mwanasiasa nchi hii anayepigania maslahi ya taifa/wananchi? Nani? Kwa maoni yangu labda Nyerere peke yake ndiye alijaribu sana kuwa mwadilifu kabisa kabisa!

Kiufupi ccn ni janga kwa mustakabali wa nchi yetu
 
Siyo kazi ya wanaCCM au viongozi kulinda maslahi ya wananchi. Usiwalazimishe.

Kila binadamu hupigania na kulinda maslahi yake kwanza. Mengineyo ni lugha za kisiasa tu. Mfano, jitazame wewe mwenyewe. Unapigania maslahi ya nani? Ninaamini hata yale ya jumla utapenda yale yanayokunufaisha wewe pia. Mfano barabara utapenda ipite kwako, maji yafike kwako, nk.

Katiba na sheria bora pekee ndivyo vyombo vya kulinda na kupigania maslahi ya jumla ya wananchi. Ndiyo maana tunawaapisha viongozi wailinde katiba na kuzitii sheria.

Nikupe pole kama umeiweka akili yako kuwategemea wanaCCM walinde maslahi ya wananchi. Pole sana.
Swala la kulinda maswali lipo kikatiba na ndyo kazi ya bunge na Mbunge, kama mtu atagombea nafasi bila kujuwa wajibu wake basi atakuwa amedhurumu ile nafasi kwa mtu aliyestahili kupata nafasi ile.
 
Siyo kazi ya wanaCCM au viongozi kulinda maslahi ya wananchi. Usiwalazimishe.

Kila binadamu hupigania na kulinda maslahi yake kwanza. Mengineyo ni lugha za kisiasa tu. Mfano, jitazame wewe mwenyewe. Unapigania maslahi ya nani? Ninaamini hata yale ya jumla utapenda yale yanayokunufaisha wewe pia. Mfano barabara utapenda ipite kwako, maji yafike kwako, nk.

Katiba na sheria bora pekee ndivyo vyombo vya kulinda na kupigania maslahi ya jumla ya wananchi. Ndiyo maana tunawaapisha viongozi wailinde katiba na kuzitii sheria.

Nikupe pole kama umeiweka akili yako kuwategemea wanaCCM walinde maslahi ya wananchi. Pole sana.
Una akili timamu? Ulienda shule?
 
Mkuu utajisumbua bure tu. Hata ungekuwa ni wewe unachukua hiyo fomu kwa mifumo iliyopo ungekuwa unapigania tumbo lako tu na wanao tusidanganyane. Kuna mwanasiasa nchi hii anayepigania maslahi ya taifa/wananchi? Nani? Kwa maoni yangu labda Nyerere peke yake ndiye alijaribu sana kuwa mwadilifu kabisa kabisa!

Kwanza ukijitia uadilifu katika nchi hii ukija kuachia madaraka watu hao hao uliokuwa ukiwapigania wanakucheka. Utaitwa boya uliyeshika madaraka makubwa halafu ukaondoka bila kujitajirisha. Na kwa huo uadilifu wako eti unapigania wananchi utakufanya ufe mapema tu kabla ya siku zako!

Acha watu wale bana. Na wewe zamu yako ikifika kula tu.

Ila katiba mpya ni lazima! Kuna ujinga mwingi sana ndiyo maana inafika mahala watu wanajisahau kuwa nao ni wanadamu tu wenye damu na nyama!
Hapana, kwa nafasi ya spika na mshahara wa spika mtu ana nafasi ya kupata mshahara mkubwa na bado akistaafu anapata 80% ya mshahara mpaka kufa. Mtu ukiba nafasi hii lazima uwekw maslahi ya taifa lako mbele.
 
Wamepiga hesabu ya mshahara mnono wa spika, marupurupu na hata marupurupu baada ya kustaafu sasa wanakimbilia kugombea uspika kwa ajili ya matumbo yao.

Hatujasikia hata mwanaCcm mmoja akisema kwa moyo wa dhati kuwa atasimamia katiba ya JMT na kuisimamia serikali kwa maslahi ya wananchi. Kuisimamia na kuidhibiti serikali ili kuwa na bunge lenye meno ndio sifa ya spika anayetakiwa. Lakini wote wanachukua fomu kwa ajili ya matumbo yao tu na sio kwa ajili ya wananchi.

Hii CCM ya leo sio kwa ajili ya kulinda na kusimamia maslahi ya wananchi.
Wengine wanajua hawawezi kupita,ila wanamkumbusha Sa100 kuwa wapo Bado active Ili wapate teuzi
 
Hii CCM ya leo sio kwa ajili ya kulinda na kusimamia maslahi ya wananchi
Mpwa naona akili zimekua stable sasa, hongera sana. Mungu akubariki, CCM haijawahi na haitakaa iwe kwa maslahi ya nchi. Kama Mbunge anaweza kusimama bungeni na kukiri kuwa Yuko Tayari kuua ili kuutetea Ubunge na akapigiwa makofi basi ujue Hali ni mbayaaaaaaa
 
Back
Top Bottom