Wana-CCM Msiangalie Mbali. Adui Mkubwa wa CCM na Tanzania ni "Kikwete, Rostam, Pinda na Mafisadi" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana-CCM Msiangalie Mbali. Adui Mkubwa wa CCM na Tanzania ni "Kikwete, Rostam, Pinda na Mafisadi"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Mar 7, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mnaojiita wanachama wa ccm sisi kama wananchi tumechoka kugombana na hawa wakina Kikwete, Mkapa, Rostam, Lowasa, Pinda na Mafisadi wenu mjitahidi kuwadhibiti au kuwafukuza. Kama mmeshindwa fungeni hicho chama au hameni kuonyesha mnapenda Taifa lenu. Swala la Chadema na Wananchi kuwasihi Kikwete na kikundi chake wajitoe madarakani linatokana na nyie ccm kushindwa kazi yenu na it's too expensive now but we have no other choice.
  1. Majanga ya uchumi
  2. Katiba ya Watanzania
  3. Uongozi - Unaojali Watanzania
  4. Elimu kwa Kila Mtanzania
  5. Afya kwa Watanzania wote
  6. Maji kwa Kila Mtanzania
  7. Barabara kwa kila mikoa

  kikwete its time for you to take responsibilty, get out
   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,158
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Naunga mkona hoja yako kwa 100%
   
Loading...