Wana CCM Kiwira wakamatwa kwa rushwa

Umekurupuka toka usingizini na kutuma post! kweli haya makampuni ya simu kutuwekea internet bila vizuizi itakuwa balaa
 
Peoples, poweeeeeeeeeer!! Makamanda pigana mpaka kieleweke maana haya magamba ya kenge hayasikiii shoka mpaka moto upite kwanza.
 
Nimekua busy huku Arumeru sina update za huko, vipi na huko kuna uchaguzi au walikuwa wanatoa rushwa kutafuta nini?
 
kwa hali hii sidhani kama kesho kutakuwa na uchaguzi, hivi hawa watu hawawezi shinda chaguzi Rushwa
 
Mkuu Kimbunga, wale wakinamama wenu wa Magamba walikusanyika katika nyumba hapa Kiwira wakigawana rushwa, hata hivyo gawio lilikuwa la kupunjana, mmoja wao akajifanya Yuda Isakariote! Akachomoka kuwatonya viongozi wa CHADEMA waloamua kuizingira nyumba hiyo na kuwapigia simu polisi wa Magamba. Chakusikitisha hapa Tz. CCP polisi wetu wamefundisha kuwatetea Mgamba kwa nguvu zao zote hata kama ni kumwaga damu wa watetea haki, palisi walikOchokifanya hapa kiwira ni kuanza kurusha mabomu ya machozi hovyo hovyo ili kuwaruhusu akinamama hao kusepa kusikojulikana!. Kesho we subiri RPC wa Mbeya kukanusha habari hii vikali.
Mkuu habari haikuwa imejitosheleza. Kumbe waliopigwa mabomu ni wale.waliokuwa wamezingira. Mwanzoni nilidhani waliokuwa wamezingirwa
 
Oya acinoxy tupe updates za arumeru mash.Coz mtandao wetu wa jf wameuchakachua haufunguki mwana.Tupe hapa hapa!
 
Back
Top Bottom