Wana CCM hizi ni kampeni au utapeli kwa wapiga kura wa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana CCM hizi ni kampeni au utapeli kwa wapiga kura wa Tanzania?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by simaye, Sep 30, 2015.

 1. simaye

  simaye JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2015
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Katika kujihakishia kuwa wanajaribu kurjea tena madarakani chama cha mapinduzi kimetuma maafisa wake karibu kila wilaya na hawa jamaa wanajaribu kuongea na watumishi hasa wanaowaita ni wasomi wa ngazi ya shahada pamoja na wanafunzi wa shule za sekondari kwa ajili ya kuwaomba wawakipigie kura.

  Katika kuwarubuni wanaeleza kuwa wanatakiwa kuunda kikundi kinachoitwa Magufuli Club ili baada ya uchaguzi waweze kupewa mikopo yenye thamani ya Tsh. 50 milioni.. Ni bahati mbaya kuwa kutokana na watanzania wengi na hasa wananfunzi kuwa na hali mbaya kiuchumi wamesikia 50 milioni wameanza kjichanganya na kukukbaliana na ahadi hii hewa.

  Ni bahati mbaya pia kuwa Watanzania hawa wamesahau ahadi ya Mabilioni ya Kikwete ambayo hata yalipotolewa yaliishia kwa wanansiasa wenyewe na watumishi wa ngazi za juu serikalini.

  Ni vema vijana wakatambua kuwa hakuna mtu atakayepewa hata shilingi kama mkopo baada ya uchaguzi. Ni vema tukajikita katika kuchagua kiongozi atakayetengeneza mazingira mazuri ya kuimarisha uchumi wetu na elimu ili baadaye tuweze kupata ajira na kujiajiri wenyewe.

  Kudanganyika kuchagua eti kwa kutegeme kukopeshwa fedha ni ndoto za abunuasi!!

  Tafakari na chukua hatua!!
   
 2. mamseri

  mamseri JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2015
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  asante kwa kutoa taarifa na wengine tuelewe
   
 3. Nkobhe

  Nkobhe JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2015
  Joined: Jan 26, 2015
  Messages: 452
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Dr huwa huwa sio muongo ukitaka kumjua muongo angalia macho na mdomo vinapishana bwana Mdogo

  ukitaka kujua uongo muangalie mamvi anavyoongea utajua tuu huyu ni teja na juzi kapotea jukwaani hadi rahaa
   
 4. General Mangi

  General Mangi JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2015
  Joined: Dec 21, 2013
  Messages: 9,082
  Likes Received: 10,201
  Trophy Points: 280
  miti yote itatelezaaa
   
 5. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2017
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10,716
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Watumishi wanaisoma namba
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...