Wana CCM dhidi ya Rais Samia na Serikali yake ni akina nani?

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,062
2,000
Black mailing dhidi ya Rais Samia

Kuna kundi wamedhamiria kufanya blackmailing. Ofcourse wako bado serikalini na wako na vyeo vyao.

Rais Samia hakutaka kuwatoa wote tunajua hakutaka lawama lakini wedhamiria kumblack mail Mama

Tumeona wanaprovoke kwenye baadhi ya mambo wakipinga ziara za nje za Rais Samia, Wakipinga Mkopo wa IMF, wakipinga machinga kupangwa, wakipinga Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia.

Kwa mtego wabunge wameingia kwenye hii trick, hatuwasikii mtaani wakiongelea mazuri ya Rais Samia 2025 sio mbali.

Pressure kubwa wameiweka mitandaoni ili kumuogopesha Samia kutofanya mabadiliko na kuendelea kuwakumbatia.
 

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
797
1,000
Kwa issue ya machinga hakuna mbunge hata mmoja aliyeungana na Hangaya.

Mama alitoa tamko kama Rais namna yakushugulikia machinga.Hao ambao huwa wanademka wangemkwamisha tu.

2025 ana safu yake ya wabunge,lisiti itaandaluwa kupitia mkeka wa makatibu mkoa na wilaya waliochaguliwa hivi karibuni.

"Ukiwa Rais na Mkiti mambo bambam"jk
 

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,507
2,000
Ondoa wasiwasi siku zote system haishindwi kitu chini ya jua watashugurikiwa tu taratibu
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,818
2,000
Ng'ara chifu Hangaya ng'araaaaaaaa😍

2919120_IMG-20210908-WA0048.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom