Lugombo Nsesi
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 126
- 149
Nawasilisha hii hoja has a kipindi hiki cha awamu ya tano ambayo inajinasibu kupambana na ufisadi.
Wana ccm wengi walizani kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi ni kwa ajili ya Lowassa, hiyo ni kwa wenye fikra finyu au wenye uelewa mdogo.
Waliokula hela za Richmond hawataki ata kuzungumzia habari hizo kwani wanajua fika nani alichota pesa hizo.
Kawa ilivokua Tegeta Escrow hakuna kwenye ujasili wa kutoa ushahidi mahakamani, wakaishia kusema hizo sio pesa za watanzania.
Jifunzeni Sana watanzania tangy matukio ya EPA, Richmond, Meremeta, Standard Chartered, Tegeta Escrow.
Haya ni baadhi ya mambo mengi yaliyoiteketeza nchi yetu.
Nano yuko radhi kutoa ushahidi mahakamani?
Nakumbuka usemi wa Juma Duni Haji kua watanzania bara wamepumbazwa hawaoni tena, fikra zao ni zile za kabla ya Uhuru.
Ccm wamevuruga utaifa wetu. Mwana ccm hataki kuona kiongozi wa ccm anakosolewa kwa mabaya yao.
Tufikirie kwa mapana kuikomboa nchi yetu kwa uzarendo.