Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM

Tatizo lako ni kupenda kuishi Tandale
Mdau kani chekesha sana daaa!
kwa sababu kuna aina nyingi mfano Double wide Mobile home, hizi hata Botswana hapo ni nyingi tu, unahamisha machuma kabisaaa unafunga, siyo rahisi mtu kujua, kwenye maonyesho ya sabasaba mwaka juzi zilikuwepo.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Aliondoka bongo lini huyu? Hahahahaha kuna mmoja aliwahi kudai maghorofa yenu huku mafupi sana si kama ya New York kwi kwi kwi angeondoka akiwa hana akili labda angeeleweka lakini aliondoka akiwa na akili zake timamu 😜😜😜
Dayaspora na mbwembwe zenu...alirud dogo eti hawez kuoga maji ya kwenye ndoo amezoea shower😀😀😀!mbwembwe nyingiii(jokes)
 
HIi hupati na sidhani kama watakuruhusu uipitishe kwenye barabara yetu. Na Mkuu hivi vidude mbona uwa ninaona bei sana maana uwa nafuatilia little

house live large, unakuta vinaanzia $40,000Mkuu
Ni kweli hii ni bei za Ulaya ,Canada na Marekani na hizi huwa ni mpya, zina kila kitu, sofa nzuri, Pikipiki ya patrol, Baiskeli za mazoezi Dog/animal cage nk, mpaka unawekewa milo ya siku7 kwa Family size, ajili ya family Campsite, hata kwa watu walioshindwa kulipa kodi.

Lkn zikija huku Africa ukipata used bei ni nafuu, waafrica wengi hatunaga safari za kiivo kupiga kambi mahali flani km mikumi familia nzima na wanyama km mbwa, farasi sijaona. St. Birigita, Ndanda Mission huwaga wanauza bei poa kwa wakazi wa Mtwara.
 
Ingia Alibaba au online shops hua wanazitangaza unaagiza nyumba ya vyumba viwili au vitatu zinakuja kama material zikifika site unafunga ni nyumba complete kuna za mbao na container house bei sio Kubwa kama kujenga
Kama hii.
 

Attachments

  • FB_IMG_1607022454427.jpg
    FB_IMG_1607022454427.jpg
    26.5 KB · Views: 2
Zipo kwenye show room kibao, huwa zinaingia kwa bahati bahati, na hazinaga ushuru, kuhama ni usiku tu, mchana Polisi trafic watakuandama uonyeshe risiti ya tela. ni nzuri hasa ukipata kiwanja una hamia siku hiyohiyo! unajenga polepole!
Wapi umeziona hizi chief nna shida nazo balaa.
 
We mtoa mada una shobo sana. Umeona wapi Bongo kukawa na hayo makitu. Kwanza gharama yake kuyokodi ni kubwa kuliko kuchukua furnished apartment Masaki. Utabana vipi matumizi? Ukute umeliona huko uliko ukaamua kuturusha roho.

Umasikini wa fikra ni kitu kibaya sana. Ukiona kitu nje unadhani Bongo kitakuwepo na ukute unaijua vizuri sana Bongo halafu mtu mwenyewe huko SA tu hapo unauza pipi kifua na ngada kwenye kichochoro cha mtaa kulala kwenye majengo mabovu
 
Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM, nahitaji hicho kitu Kiwanja kiko salasala
We njoo utaishi Hostel za Magufuli au Ubungo Hostel kubana Matumizi, na chakula utakula cafeteria za wanafunzi.
Lakini kitendo cha kutoka nje kuja kubana matumizi ni uhujumu uchumi, tunapenda uje utumie kwa fujo ulichovuna huko ili tiobaki Bongo tunufaike na kuongeza mzunguko wa pesa kwenye uchumi
 
Back
Top Bottom