Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM

We njoo utaishi Hostel za Magufuli au Ubungo Hostel kubana Matumizi, na chakula utakula cafeteria za wanafunzi.
Lakini kitendo cha kutoka nje kuja kubana matumizi ni uhujumu uchumi, tunapenda uje utumie kwa fujo ulichovuna huko ili tiobaki Bongo tunufaike na kuongeza mzunguko wa pesa kwenye uchumi
JPM kwa nini unanifanyia hivi Baba? huna huruma? COVID Inazidi kubana naahirisha
 
Back
Top Bottom