wana A-Town ya ukweli haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana A-Town ya ukweli haya

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Good Guy, Aug 9, 2012.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nimesoma mwanzo tu nikajua ni mzungu njaa huyo......hivi anajua maana ya utalii.....?
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  asee nimesoma hii habari nikackitika sana, nnchi ye2 inavopondwa hadi kero. By d way kwa nnavowajua wabongo(tena machalii) kutakua na ukweli nd what are the authorities doing. Yaan nmekosa hata la kuwaza
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama anapachukia kaja kufanya nini...Arusha ingekua ni mbaya usingeona KLM ikiwa inashusha watu KIA kila siku ya Mungu. Na sasa hivi mpaka kampuni zingine za ndege za nje zinaanza kupanga safari za KIA...ajiendee zake kwao akapigwe na baridi kama samaki
   
 5. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Anachosema huyo Mr. F.u.c.k Bullshit kina ukweli. Wapo vijana wanaoitwa sijui 'nzi' au nini sijui, kazi yao ni kuwazonga watu weupe wanaoonekana ni watalii. Wanakera sana na kunajis tasnia ya utalii. Halafu kataja hiyo hoteli yenye "rude front desk attendant" Hii ndo ile tunaisema sana hapa JF kwamba watanzania hatuna customer care. Unaingia kwenye ofisi unamkuta receptionist kanuna halafu anakuuliza: "Unataka nini? kwa kiingereza:"What do you want?" Hiyo ya kiingereza ukimwambia mtalii kutoka u.s.a au uk. atakuona very very rude! Huyu F.u.c.k Bullshit hajakosea wala kuongeza chumvi - nchi hii ndivyo tulivyo!
   
 6. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Sio hivyo mtotowamjini. Chukua mfano wa Dar. Unamkuta mtu dar anakuambia mji huu mgumu maisha ni magumu.Lakini mbona kila siku maelf kwa maelf ya watu huenda dar kuishi? Kwenye utalii ni mbaya sana kwa sababu hawa wenzetu wanaambiana.Huyu tuliyemsoma hapa ataeleza maupuuzi yote aliyoyaona arusha na waliokusudia kuja arusha kwa utalii wa mbuga zetu watakacha na kuishia nairobi.
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  Sasa hiyo mbona iko kila mahali., nakupa mfano london wana one of the highest crime rate na fraud in the world.. Kuna watanzania au watu wa nchi zingine washauwawa au kutapeliwa sana tu but kila siku unaona watu wako UK embassy au US embassy wanatafuta visa kwenda marekani au uingereza. Dunia hii kila nchi ina issues na hata ukilalamika vp bado watu watatembelea nchi zingine. Huyu mzungu kaongea hivi as if kwao hakuna utapeli au uwizi.. Wajinga hao. Wanaona wivu kua nchi zetu zina rasilimali nyingi na kaongea hivo ili kuwafanya watu wa nje wavunjike moyo kuja huku bt haitawezekana.
  ili
   
 8. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  huduma kwa wateja hatujui sisi........
   
Loading...