Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Deuteronomy 28:15 na kuendelea ni mwiba.

Mkuu Eiyer unamaanisha maisha ya mtu mweusi ni matokeo ya kutotii maagizo ya Mwenyezi Mungu?.

Fafanua tafadhali.
Nilimuambia bukoba boy kwamba kuna uwezekano mkubwa sana kwamba sisi Wabantu tukawa ndiyo wale Wasraeli halisi kwa maana ya wana wa Yakobo...

Kwasababu hiyo,ukiangalia maandiko Wayahudi [Waisraeli walioishi kusini mwa Israeli baada ya mgawanyiko wa mwaka 670 b.c] na pia Waisraeli wa kaskazini mwa Israeli walimkataa masihi,na siyo hilo tu bali walikaidi maagizo ya Mungu....

Kwenye Kumbukumbu 28 kuna baraka na laana kama watafuata maagizo yake na kama watayakaidi.Sasa ukisoma hizo laana kwakuwa walikwenda kinyume na maagizo ya Mungu utaona kabisa utadhani mwandishi alikuwa anatuangalia sisi kwa yale yanayotupata....

Ndiyo nikasema kwamba hii inatuhusu kama nitakuwa sahihi kuhusu Wabantu kuwa Waisraeli halisi....
 
Hii hata mimi naikubali kwa sababu hata mke wa nabii Musa kwa mujibu wa biblia alikuwa mweusi na alikuwa wa jamii zenye maingiliano makubwa na wamisri miaka hiyo.

Kudhihirisha kwamba watu weusi walikuwa na akili, baba mkwe wa Musa ndiye aliyemshauri Musa atumie division of labour na surbodination of duties ili kujipunguzia kazi kubwa ya kuwaongoza wana wa Israeli peke yake
 
Assumption ya white supremacy ni kua Egyptians and Israelites of such times were as those of today.Yaani Waisrael wa sasa imeaminika ni weupe basi pia ikaaminishwa na wamisri wa kipindi kile walikua weupe.
Hata kama tukiamua kukubaliana na jambo hili bado haiwezekani Mzungu [Waisraeli wa sasa] aende kuishi na Waarabu [Wamisri wa sasa] halafu asijulikane.....

Haipo hiyo....
 
Hii hata mimi naikubali kwa sababu hata mke wa nabii Musa kwa mujibu wa biblia alikuwa mweusi na alikuwa wa jamii zenye maingiliano makubwa na wamisri miaka hiyo.

Kudhihirisha kwamba watu weusi walikuwa na akili, baba mkwe wa Musa ndiye aliyemshauri Musa atumie division of labour na surbodination of duties ili kujipunguzia kazi kubwa ya kuwaongoza wana wa Israeli peke yake
Taratibu tutaelewa tu......
 
Deuteronomy 28:15 na kuendelea ni mwiba.

Mkuu Eiyer unamaanisha maisha ya mtu mweusi ni matokeo ya kutotii maagizo ya Mwenyezi Mungu?.

Fafanua tafadhali.
Kumb 28:15 “Na itatukia kwamba ikiwa hutasikiliza sauti ya Yehova Mungu wako kwa kuwa mwangalifu kutenda amri yake yote na kanuni zake ninazokuamuru wewe leo, laana hizi zote zitakujia pia na kukufikia:+16 “Utalaaniwa jijini,+ nawe utalaaniwa shambani.+17 “Kitalaaniwa kikapu+ chako na kikandio+ chako.18 “Utalaaniwa uzao wa tumbo lako+ na mazao ya udongo wako,+mtoto wa ng’ombe wako na uzao wa kundi lako.+19 “Utalaaniwa unapoingia ndani, nawe utalaaniwa unapotoka nje.+20 “Yehova ataituma laana+ juu yako, kuvurugika+ na kemeo+ katika kila hatua unayochukua unayojaribu kutimiza, mpaka uwe umeharibiwa na kuangamizwa haraka, kwa sababu ya ubaya wa mazoea yako kwa kuwa umeniacha mimi
 
Nilimuambia bukoba boy kwamba kuna uwezekano mkubwa sana kwamba sisi Wabantu tukawa ndiyo wale Wasraeli halisi kwa maana ya wana wa Yakobo...

Kwasababu hiyo,ukiangalia maandiko Wayahudi [Waisraeli walioishi kusini mwa Israeli baada ya mgawanyiko wa mwaka 670 b.c] na pia Waisraeli wa kaskazini mwa Israeli walimkataa masihi,na siyo hilo tu bali walikaidi maagizo ya Mungu....

Kwenye Kumbukumbu 28 kuna baraka na laana kama watafuata maagizo yake na kama watayakaidi.Sasa ukisoma hizo laana kwakuwa walikwenda kinyume na maagizo ya Mungu utaona kabisa utadhani mwandishi alikuwa anatuangalia sisi kwa yale yanayotupata....

Ndiyo nikasema kwamba hii inatuhusu kama nitakuwa sahihi kuhusu Wabantu kuwa Waisraeli halisi....

Fikirishi sana hii mkuu Eiyer.

Inaalika tuendelee kutafuta zaidi. Bukoba boy endelea kutupia madini akili ipate chakula chake.
 
Nachofurahi MTU mweusi anaanza kujielewa ..Ila kumbuka Mungu hadanganywi na miaka 1000 ni sawa na cku 1 kwa Mungu... Wale wanaojiita waisraeli pale Israeli Mungu anawaona na wakutesa wenzao cku zao zinahesabika....
 
Fikirishi sana hii mkuu Eiyer.

Inaalika tuendelee kutafuta zaidi. Bukoba boy endelea kutupia madini akili ipate chakula chake.
Ni kweli mkuu inafikirisha sana tena sana tu.....

Lakini kikubwa na kibaya zaidi ni kwamba kuna watu weusi hasa kutoka mashariki mwa Afrika walipelekwa utumwani kule India na kuna kijiji kukubwa sana eneo moja kule Inadia wanaishi huko na wanajua kuwa walitoka huku mashariki mwa afrika,nimesahau eneo husika nikikumbuka nitalitaja hapa....

Watu wale walitoka hasa Kenya na sehemu za pwani ya Afrika ya mashariki.Ni masikini wa hatari kabisa kule na serikali ya India ni kama imewatupa hivi.Mkuu,sisi huku tunaishi maisha ya kishenzi lakini wale ni kama wapo shimoni,inasikitisha sana aisee....

Kwanini historia hizi zinafichwa?

Suala la mtu mweusi na uwepo wake duniani imekuwa kama ni laana.Haya ndiyo maana ninasema yana sababu maalum kabisa na siku siyo nyingi tutafutwa machozi haya ya damu siku itakayoutisha ulimwengu kwa namna ya kutisha kabisa.....

Acha tu waendelee kudanganya....
 
Nachofurahi MTU mweusi anaanza kujielewa ..Ila kumbuka Mungu hadanganywi na miaka 1000 ni sawa na cku 1 kwa Mungu... Wale wanaojiita waisraeli pale Israeli Mungu anawaona na wakutesa wenzao cku zao zinahesabika....
Bob Marley alisha sema "You can fool some people for some time but you can't fool all the people all the time",hakika siku zao zinahesabika....
 
Ninahisi faraja sana nionapa mada kama hizi zinajadiliwa, hata mbuyu ulianza kama mchicha, we shall emancipate ourselves from total mental slavery the moment we start to teach our young folks about these hidden information and when we emancipate our spiritual dependence to foreign doctrines.
 
Salute to all black people's walibaki kiasi na ndio maana watu wa kale wanalielewa hili ya kwamba Misri ni ya watu weusi,
Na ijulikane watu weusi walisambaa hata kabla ukoloni
 
Back
Top Bottom