Wamiminika kwa waganga wa jadi: Mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamiminika kwa waganga wa jadi: Mawaziri

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Benno, May 2, 2012.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  E bwana hawa watuhumiwa wamepanga foleni kwa waganga, kusafisha nyota.
  Inamaana watatufanya tusahau wamefuja mali za umma au inakuwaje hapa?

  Source: clouds
   
 2. S

  STIDE JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ole wao watuulie ndugu zetu Albino!!!!! Serikali ya kishirikina sana hii!!!!!!!
   
 3. M

  Mzee Lupa Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hii inaonyesha nini? Kwamba serkal yetu imetawaliwa sana mambo ya kishirkina ...hlo nalo lnaweza kuwa sababu ya umasikin ..
   
 4. n

  nkombe Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alafu 2nasema 2wachague wasomi, kweli kwa style hii 2tafika!?
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Vipi wengine hawajaenda kwa Babu kweli!
   
 6. MimiT

  MimiT JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 603
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 80
  clouds waliwaonaje hao mawaziri kwa waganga? au na wao (clouds) walienda huko kupata huduma?
   
Loading...