Wamiliki wa vyuo binafsi vya ualimu njooni mumjibu mbunge Mulugo

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Mbunge Mulugo ni.mwalimu na mumiliki wa shule za English medium.Kamhoji waziri was elimu kuwa serikali itaanza lini kuwa na vyuo vya kutoa walimu wa kufundisha shule zao za English Medium kwani wanatumia waganda na Wakenya.Nianze kujibu kwanza vyuo vya private mbona vipo .Mfano chuo Cha ualimu St Mary's Tabata Dar es salaam hutoa walimu wa shule za English Medium .Vyuo vingine wekeni hapa ili wakitaka walimu waje wawachukue huko .Wekeni majina ili Watu Kama Mulugo wasiendelee kuchukua walimi Kenya na Uganda wa English Medium.Wenye vyuo tafadhali leteni details zenu hapa za kozi za ualimu mnatoa
 
Back
Top Bottom