Wamiliki wa nyumba kwa kutopangisha wasiooa mnazingua

Hata mabint wanafanyiwa hvo?
Sijawahi kuexperience hilo.
Lakini pia huwezi kufananisha mabinti na wanaume katika hili maana angalau sie huwa tuna ile soni ya kuzaliwa, sio rahisi kubadili badili wanaume kila siku unapoishi.
Tofauti na nyie ambao huwa mnafikia hatua hadi ya kuazimana room na washikaji kwaajili ya kufanyia uzinzi
 
Me sina tabia hzoo
 
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje?? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au?? toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?? Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au??
Dawa yao ni kujenga yako
 
Wengine hawataki walioowa kupunguza makelele ya watoto na matumizi ya umeme na hasa kama mnashea luku, mama wengine wanaangalia tv masaa yote na huku subwoofer inatema taarab mda wote.
 
Hahahha huwa na prefer kila mtu na luku yake
 
Back
Top Bottom