wamiliki wa meli na manahodha kizimbani zanzibar!,bila afisa wa sumatra kulikoni?

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
kwa mujibu wa TBC,watu wanne wmefikishwa mahakamani kutokana na ajali ya meli mv spice,swali kubwa hapa je mbona hakuna afisa yeyote wa fordha,sumatra na wengine wote ambao kwa ujumla wanawajibika na taratibu za meli kutia nanga na kun'goa nanga.hii ikiwa ni pamoja na afisa mkuu wa bandari?..je wadau hii imekaaje? nawakilish!
 
Sumatra haiwajibiki Zanzibar. Walishatimuliwa huko siku nyingi. Zanzibar wana chombo chao na sheria zao zinazosimamia usafiri wa majini.
 
kuna mtto 1 hvi wa yule mkubwa ahswahi kuwa rais Zanzibar naona wamemuacha..................huh
 
Back
Top Bottom