Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,668
- 149,840
Mimi nawashauri wamilki wa magazeti wawe na umoja wao bila kujali uwepo wa vyama vingine vya wamiliki au waandishi wa habari.
MOAT ni taasisi kubwa sana kiasi kwamba sidhani kama inaguswa sana na kufungiwa kwa gazeti moja ila mkumbuke magazeti pekee ndio yenye sheria mbaya kuliko aina nyingine yoyote ya vyombo vya habari na hivyo umoja wenu ni muhimu sana hasa nyakati hizi za sasa.
Najua kuna magazeti mawili matatu hayawezi kuafiki wazo la aina hii ila mnapaswa kuwapa kisogo na kuna siku mambo yakibadilika,hata wao watakuja kuomba uanachama maana kila kitu kina mwanzo na mwisho ingawa kwa sasa hawataliona hilo.
Watu wa magazeti mna nguvu ila hamjajipanga na hii ni kwasababu tu hamna umoja miongoni mwenu.