Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani, kwanini mnatutesa na kutukomoa Abiria wenu katika dakika 20 za huduma mnazotupa mkisimama njiani?

Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?

Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na Kujisaidia Huduma zingine Muhimu za Kibinadamu ( kama za Kukojoa na Kunya njiani Safarini ) uwe ni dakika 30 au 45 mtapungukiwa nini?

Matokeo yake kwa hii Roho Mbaya yenu ya kutupa hizi dakika 20 njiani na Kutuwahishia Abiria kurudi katika Mabasi tuendelee na Safari wengine tunajikuta tunakula ndani ya Mabasi kwa Presha huku tunakunya na Kujinyea vile vile ila Siti zenu tu huwa zinatusaidia Kutusitiri mpaka tufikapo mwisho wa Kituo.

Na hakuna Kitendo ambacho KEROZENE nakichukia kama unakuta Abiria umemuomba Kondakta na Dereva unataka Kukojoa halafu unashuka na unaanza Kufungua Zipu ili uuchomoe 'Mkurudungu' wako ukojoe unasikia Dereva anakupigia Honi matokeo yake kwa Kitete ( Presha ) unajikuta unakojoa kidogo tu au unaacha na kujikuta ukianza Kukimbia kuwahi ndani ya Basi huku Ukijamba hovyo Porini hadi unawashtua Vicheche waliojipumzisha, Suruali umeishikilia ikiwa Magotini na kuja Kuvalia vizuri ndani ya Gari mlangoni huku Abiria Wenzako wakikukodolea tu Mubashara.

SUMATRA tafadhalini ongeeni na TABOA kuwa Abiria tunateseka na hizi dakika zao 20 tu wanazotupa tukiwa njiani na sasa tunataka tupewe ama dakika 30 au 45 ili tuweze Kujinafasi vizuri kwa Huduma zote Tatu muhimu za Kula, Kukojoa na Kunya ndipo tuwe tunaendelea na Safari zetu.

Hizi dakika zao 20 Kimahesabu tu hata kama ukiwa ni 'Mathematician' utazigawa vipi kwa Foleni ya Chakula unayoikuta? Kwa Foleni ya Watu Kukojoa katika Vyoo vichache achilia mbali wale ambao unawakuta nao wanataka Kunya ila wamekuta wameshawahiwa na wanaojua Kunya wakiwa Wanaguna tu Vyooni, kutoka haraka hawatoki na hata wakitoka utaambulia Msonyo na Bonge la Kimba linakukaribisha ili Kwanza ulione ndipo 'Uliflashi' likuage ndipo nawe uanze Kushughulikia na lako lililoko Tumboni na linataka kutoka?
Genta huwa unaandika utoto utoto sana. Yaani hata ukitumia ID nyingine akili inabakini chafu na kisoda
 
Matokeo ya kuishi in a pithole country,mabasi ya safari ndefu ni lazima yawe na choo ndani kwa ajili ya no 1,na kila baada ya 200km za kusafiri bus linatakiwa kupumzisha abiria kwenye kituo chenye huduma sio porini!vituo vya mafuta vilivyopo kwenye highways ni muhimu viwe na vyoo vya kutosha na huduma zinginezo.
 
Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?

Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na Kujisaidia Huduma zingine Muhimu za Kibinadamu ( kama za Kukojoa na Kunya njiani Safarini ) uwe ni dakika 30 au 45 mtapungukiwa nini?

Matokeo yake kwa hii Roho Mbaya yenu ya kutupa hizi dakika 20 njiani na Kutuwahishia Abiria kurudi katika Mabasi tuendelee na Safari wengine tunajikuta tunakula ndani ya Mabasi kwa Presha huku tunakunya na Kujinyea vile vile ila Siti zenu tu huwa zinatusaidia Kutusitiri mpaka tufikapo mwisho wa Kituo.

Na hakuna Kitendo ambacho KEROZENE nakichukia kama unakuta Abiria umemuomba Kondakta na Dereva unataka Kukojoa halafu unashuka na unaanza Kufungua Zipu ili uuchomoe 'Mkurudungu' wako ukojoe unasikia Dereva anakupigia Honi matokeo yake kwa Kitete ( Presha ) unajikuta unakojoa kidogo tu au unaacha na kujikuta ukianza Kukimbia kuwahi ndani ya Basi huku Ukijamba hovyo Porini hadi unawashtua Vicheche waliojipumzisha, Suruali umeishikilia ikiwa Magotini na kuja Kuvalia vizuri ndani ya Gari mlangoni huku Abiria Wenzako wakikukodolea tu Mubashara.

SUMATRA tafadhalini ongeeni na TABOA kuwa Abiria tunateseka na hizi dakika zao 20 tu wanazotupa tukiwa njiani na sasa tunataka tupewe ama dakika 30 au 45 ili tuweze Kujinafasi vizuri kwa Huduma zote Tatu muhimu za Kula, Kukojoa na Kunya ndipo tuwe tunaendelea na Safari zetu.

Hizi dakika zao 20 Kimahesabu tu hata kama ukiwa ni 'Mathematician' utazigawa vipi kwa Foleni ya Chakula unayoikuta? Kwa Foleni ya Watu Kukojoa katika Vyoo vichache achilia mbali wale ambao unawakuta nao wanataka Kunya ila wamekuta wameshawahiwa na wanaojua Kunya wakiwa Wanaguna tu Vyooni, kutoka haraka hawatoki na hata wakitoka utaambulia Msonyo na Bonge la Kimba linakukaribisha ili Kwanza ulione ndipo 'Uliflashi' likuage ndipo nawe uanze Kushughulikia na lako lililoko Tumboni na linataka kutoka?
Mwamba umeongea kwa uchungu sana
 
Sijui ni nani aliyejibunia huu utaratibu, yaani inawezekana vip dk 10 abiria aliekaa siti no. 55 yupo na watoto 2 ashuke akajisaidie yeye pamoja na watoto wake, halafu akitoka hapo akachukue chakula kwa dk hizo 10? Hakika huu ni unyanyasaji. Tunaomba wanaohusika walitazame hili, maana abiria analipa nauli 50000/-halafu hapati hata muda wa kula kwa raha
 
Mabasi yote ya safari ndefu yawe na vyoo vya ndani, pia kisheria baada ya masaa manne matano kupumzika iwe lazima. Hiyo itamsaidia dereva kupumzika kidogo na kupunguza ajali zinazosababishwa na uchovu.
Unataka kuwapa watu kazi isiyokuwa na mshahara, kusafisha choo sii mchezo Bora kwenye treni kinaenda chini ya reli
 
Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?

Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na Kujisaidia Huduma zingine Muhimu za Kibinadamu ( kama za Kukojoa na Kunya njiani Safarini ) uwe ni dakika 30 au 45 mtapungukiwa nini?

Matokeo yake kwa hii Roho Mbaya yenu ya kutupa hizi dakika 20 njiani na Kutuwahishia Abiria kurudi katika Mabasi tuendelee na Safari wengine tunajikuta tunakula ndani ya Mabasi kwa Presha huku tunakunya na Kujinyea vile vile ila Siti zenu tu huwa zinatusaidia Kutusitiri mpaka tufikapo mwisho wa Kituo.

Na hakuna Kitendo ambacho KEROZENE nakichukia kama unakuta Abiria umemuomba Kondakta na Dereva unataka Kukojoa halafu unashuka na unaanza Kufungua Zipu ili uuchomoe 'Mkurudungu' wako ukojoe unasikia Dereva anakupigia Honi matokeo yake kwa Kitete ( Presha ) unajikuta unakojoa kidogo tu au unaacha na kujikuta ukianza Kukimbia kuwahi ndani ya Basi huku Ukijamba hovyo Porini hadi unawashtua Vicheche waliojipumzisha, Suruali umeishikilia ikiwa Magotini na kuja Kuvalia vizuri ndani ya Gari mlangoni huku Abiria Wenzako wakikukodolea tu Mubashara.

SUMATRA tafadhalini ongeeni na TABOA kuwa Abiria tunateseka na hizi dakika zao 20 tu wanazotupa tukiwa njiani na sasa tunataka tupewe ama dakika 30 au 45 ili tuweze Kujinafasi vizuri kwa Huduma zote Tatu muhimu za Kula, Kukojoa na Kunya ndipo tuwe tunaendelea na Safari zetu.

Hizi dakika zao 20 Kimahesabu tu hata kama ukiwa ni 'Mathematician' utazigawa vipi kwa Foleni ya Chakula unayoikuta? Kwa Foleni ya Watu Kukojoa katika Vyoo vichache achilia mbali wale ambao unawakuta nao wanataka Kunya ila wamekuta wameshawahiwa na wanaojua Kunya wakiwa Wanaguna tu Vyooni, kutoka haraka hawatoki na hata wakitoka utaambulia Msonyo na Bonge la Kimba linakukaribisha ili Kwanza ulione ndipo 'Uliflashi' likuage ndipo nawe uanze Kushughulikia na lako lililoko Tumboni na linataka kutoka?
Hayo mavi yabane ukayanye kwa mkeo na Sumatra ndio nini kuna latra siku hizi
 
Kuna moja niliwakomoa natokea Dar es salaam kwenda Dodoma, nimemwambia kondakta asimamishe bus, alivyosimamisha nikashuka, kumbe na abiria wengine walikua hoi ni vile walikuwa hawawezi kusema, watu wote wamemaliza haja zao mimi bado, nakumbuka nilikaa zaidi ya dakika 30 hv, dereva alipiga honi wapi mimi ndiyo kwanza tumbo limeanza , walinisubiri hadi nikamaliza, wakati narudi kwenye bus watu wote wamenikodolea macho, konda analalamika eti nimewachelewesha , nikamuambia wakati mnachukua nauli mbona hamkusema nawachelewesha na rudisheni nauli nusu nipande gari nyingine, kama hamurudishi lazima msikilize shida yangu, tangia hapa maneno yakaisha na safari ikawa murua, abilia kadhaa walinishukuru walikuwa wamezidiwa kwelikweli .

Siku nyingine nasafiri,nilicheka sana, binti alitaka kujikojolea eti anaogopa kumuomba konda asimamishe gari, ikabidi niingilie kati nikamfuata konda na dereva nikawaambia simamisheni gari kuna mtu amebanwa mnataka akojoe humu, wakasimamisha.

Hawa watu wa mabus shida kweli, abilia inakubidi uwe mkali kama una shida ndiyo wanakusikiliza.
Abiria wa Bongo wakati fulani huwa mnazingua sana! Yaani siku ya safari, njia nzima mnakula tu! Zikipita bagia mnanunua, Miwa ya kwenye pakiti, mnananua! sambusa za nyama, twende! Ndizi za kuiva, twende! Mahindi na mayai ya kuchemsha, twende!

Masaa machache baadaye, shughuli inaanza tumboni.
 
Kiukweli nikiwa nasafiri silagi chochote njiani kuepusha kadhia hizo, lakini siku ile sijuhi kitu gani kilisababisha ile hali.
 
Are you guys getting 20 Minutes?

6EFFDFE0-98DC-45E7-834D-EA97C75A6B34.jpeg
 
Mabasi yote ya safari ndefu yawe na vyoo vya ndani, pia kisheria baada ya masaa manne matano kupumzika iwe lazima. Hiyo itamsaidia dereva kupumzika kidogo na kupunguza ajali zinazosababishwa na uchovu.
Kisayansi ni masaa 3 ndo kibofu cha6binadamu kinakuwa kimejaa. So waliweka baada ya masaa 4 siyo mbaya anagalau abiria achimbe dawa na hata anyooshe mwili hata kwa dk hizo 10 inatosha sana kwa afya.

Sasa basi siku moja nimepanda basi la ABC high class. Nilipanda saa 1.00 kutoka Mafinga. Kuchimba dawa ni Morogoro cate hotel. Umbali wa masaa 7 hadi nane wanatutesa sana aise

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Bora nyie Mara nyingi root ya dar Arusha au songea dar n dk 10 TU tunapewa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
na dk 10 haizifiki..

wao wanahesabu dk kuanzia wao wakipak...

fikiria abiria aliekaa nyuma kabisa hadi afike mlangoni, na hapo njiani unakuta wa mama wabibi wababu wanajivuta, matokeo yake dk zimeenda..

dere na konda, wao wakifika hoteli yyte hawalipi, na wanapewa huduma ya chakula fast track, wakimaliza tu wao wanahesabu dk 10 zimeisha na wameshawahi kwny bus.

dk zihesabiwe kuanzia mtu wa mwsho aliposhuka kwny gari. pili sioni mantiki ya hicho wanacho kiita dk 10 kula na kuchimba dawa, wakt bus linaweza kufika kituoni likawa kama daladala linasubiri abiria kama Capricon, maana hili bus linasimamisha kabisa abiria kwny korido au linawapa vigoda..

serikali la latra inabidi waliangalie hili la dk10, abiria wengi wameachwa njiani..
kula na kuchimbq dawa ni haki ya abiria, lakn inakanyagwa na hawa madereva darasa la saba b.
 
Kuwe na mabasi ya Luxury yenye vyoo ndani kwenye ruti ndefu zote mfano Dar Mwanz, Dar Kahama, Dar Mbeya nk. Abiria achague mwenyewe apande Luxury au Semi Luxury
ABC upper Class ya Dar-Dodoma yana vyoo ndani nauli 26,000 tu
 
Kisayansi ni masaa 3 ndo kibofu cha6binadamu kinakuwa kimejaa. So waliweka baada ya masaa 4 siyo mbaya anagalau abiria achimbe dawa na hata anyooshe mwili hata kwa dk hizo 10 inatosha sana kwa afya.

Sasa basi siku moja nimepanda basi la ABC high class. Nilipanda saa 1.00 kutoka Mafinga. Kuchimba dawa ni Morogoro cate hotel. Umbali wa masaa 7 hadi nane wanatutesa sana aise

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hacha kupanda ya bei poa, panda ABC upper class (VIP) yana vyoo yale
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom