Wamiliki wa iPhone store Makumbusho na kwingineko, mzigo mnapatia wapi?

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Habari za leo ndugu wana j-forums

Kwanza kabisa niende kama kichwa cha habari kinavyosema 'wamiliki wa iphine storeS'

Nimekuwa ni mfanya biashara wa mda mref sana hizi za online market kwa kuagiza bidhaa tofaut tofaut. Mfano saa, cases, and other accesories kwa kuagiza ali express, na kwenye other online shipping malls.

SWALI
Ndugu zangu wauzaji wa iphone,samsang (huwa ni zaidi) na zinginezo pale makumbusho, sinza n.k, huwa mizigo mnaagizia wapi au wanaagizia wapi??? Ama ni kusafiri mwenyewe mpaka nje na kununua na na kuzileta TZ ??
Maana napenda sana hii biashara sababu vtu vngi huwa ni genuine (original) ukijumuisha phones,cases,watches n.k

Note.
Napenda kufahamu zaidi jinsi wanapotolea mizigo..

Yangu hayo tu wakuu...AHSANTENI
 
Tunasaidiana tu, ingawa wabongo kupeana mawazo ni ishu ngumu sana huku hatjjui kuwa rizk mtoaji ni GOD
 
nenda pale makumbusha, amua siku nzima unashinda maeneo hayo,naamini utapata chimbo lake kwa madalali wa hapo
 
Back
Top Bottom