Wamiliki wa Hostel wanalipa kodi stahiki?

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
Serikali ya awamu ya tano ni ya kukusanya mapato.Naomba wafanye mkakati wa kukusanya kodi toka kwa wamiliki wa hostel za wanafunzi wa vyuo na sekondari.
Sina haja ya kushuka takwimu ya hela wanazovuna bila kulipa kodi kwenye nyumba zao zenye vitanda vya ghorofa.
Waziri wa fedha miamala ya simu tu haitufikishi mbali.watu watarudi kwenye cash money.
 
Back
Top Bottom