ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,037
- 6,288
Acha kufananisha Benz, Audi na ushuzi mwengine hapo Berlin!
Acha kufananisha Benz, Audi na ushuzi mwengine hapo Berlin!
Sio hivo Gari za mjerumani siku hizi toka 2013 zinakuja bila oil dipstick.Nimeshajizoelea kununua oil filter ya gari za Japan 10,000-15,000,sasa najiuliza hivi gari kama BMW oil filter yake inaendaje...?...
kwahio unakadiria auSio hivo Gari za mjerumani siku hizi toka 2013 zinakuja bila oil dipstick.
Sikadirii chief huo ndio ukweli.kwahio unakadiria au
Nadhani kwa mtindo huo itakuwa inasoma kwenye dashboard...kwahio unakadiria au
Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite
Kuna gari zingine wanamiliki wababe tu hapa mjini,gari ina tank mbili na zote anaweka full tank full time,cc 4000.
Spark Plug tu ni laki na themanini, acha pesa imtambulishe mtu jinsi alivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijipange na mimi nivute usafiriYule wa ufufuko na uzima, BMW ni sawa ni kirikuu.