tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Kweli watanzania tuna shida kubwa vichwani Katika kutetea na kupigania usalama wa raia wake.
Mauaji yalipokuwa yanatokea Ikwiriri, Kibiti na Mkuranga Wanaharakati na wapigania usalama walikuwa kimya tu zaidi ya kulaumu Jeshi la Polisi kuwa ndiyo hawafanyi kazi yao na wengine wengi tu kufurahia kuuwawa kwa Polisi.
Lakini imetokea hii ya Dodoma juzi basi kila mmoja anapiga kelele utafikiri wa Kibiti waliouwawa walikuwa si binadamu.
Watanzania tuache kubaguana kwa msingi yoyote ile ili tujenge umoja wa kitaifa na tulaani unyanyasaji na uonevu wowote ule kutoka mamlaka zinazohusika na usalama wa raia.
Lakini pia tuwafichue wahalifu waliopo miongoni mwetu ili kuhakikisha jamii yetu tunaishi salama kabisa.