Wametuibia BOT, Twiga, Escrow, Tembo, Radar, Gas yetu, mwisho 25 Oct

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,846
16,740
Hiii haiingii akilini, hata kidogo...

Alafu kuna mijitu bado inashangilia CCM... ingekuwa watanzania wana kumbu kumbu kidogo tu, WALA UKAWA HAWAPIGI kampeni, wanashinda tu..!!!!

Ndio maana, UKAWA wanasema, priority yao ya kwanza ni

1: ELIMU.....

2: ELIMU...

3: ELIMU...

nani BUREEEEE na BORAAAAAA.... upewe nini tenaaaaa....!!!👇👇👇👇

Sbb CCM they invested much ktk UJINGA wa watu, so ni RAHISI kuwatawala, as well hawatakuwa na memory ya matukio YANAYOWAFANYA WAO MASKINI WA KUTUPA, inayofanywa na CCM...

Escrow, EPA, meremeta, kiwira, tembo wamemalizwa, twiga apandishwa ndege, Boat fake ya Magufuli, Nyumba za Serikali, Meli ya Samaki ya Magufuli, RICHMOND, RADAR, MIKATABA HATARI YA GESI, bandari wizi wa kutisha kukwepa kodi, MIKATABA YA MADINI, KATIBA MPYA kuchakachuliwa, Mama ntilie kupigwa kama mbwa, machinga kufukuzwa fukuzwa kama vibaka, waalimu kudai madai halali ya madeni yao, boda boda kufukuzwa hovyo, wana VYUO kukosa mikopo wengi kuacha vyuo, madawa kukosekana hospitali, wazazi kukaa chini hospitalini, wanafunzi kukaa chini ktk primaries nyingi, WIZARA YA UCHUKUZI KUDAIWA tshs. 1.4 trillions na wakandarasi..how..? DENI LA TAIFA LA KUTISHA...!!! Albino kuuawa hovyo...!! Wakulima na Wafugaji kuuana hovyo...!!!

Sasa, watanzania wengi wana akili ngumu sana sanaaa...

Huu uchaguzi, INGEKUWA UKAWA wanashinda asubuhi, wala hakuna cha nini wala nini...!!! hayo madhambi yanatosha kuwaadhibi CCM kwa KUPIGIA KURA UKAWA...

UKAWA, ndio UKOMBOZI WETU...

Amkeniiiiiiiii..... acheni kulalaa..!!!

Chagua Lowassa, UKAWA... mpango wa Mungu..!!!
 
Na magufuli hajawahi kuwa mwadilifu na haamuniki ni jeuri kupita kiasi..ushahidi upo ...ufisadi upi kwenye kununus meli ferry za bei ya juu barabara mnivu chini ya kiwango kugombana kwa ujeuri na wamiliki wa trasport Tatoa na Taboa ...hana sifa za uadilifu...ana sifa ya ubabe...lakini ccm inamsafisha kwa wino na nyimbo ili mambo yaendelee kama kawa ili ufisadi uendelee kama kazi ili masheikh wetu waendelee kuteswa....sioni uadilifu..akiaminishwa na kinana kuwa masheukh wale ndio magaidi walofanya vitendo vichafu huku kinana akijua kuwa anasema uongo kwani yale yakitikea wao wapo rumande basi ....uadilifu si uoni huko mbeleni tusitarajie masheikh kuheshimiwa
 
Makufuli na ccm ni janga la kitaifa

kama kipindupindu, ebola na dengue
 
na sasa wanatumia pesa hizi za wizi kuwanunua wasanii wa bongo flava na bongo movie
 
na sasa wanatumia pesa hizi za wizi kuwanunua wasanii wa bongo flava na bongo movie

Kabisaaa.... wamewanunua hao...CCM wanadhani kura zinaletwa na Bongo flavour na Bongo movies...!!!

Watu wanaenda ktk FIESTA... ila sio kumsikiliza mgombea Urais wa CCM... watu wanacheki FIESTA TU..
 
Back
Top Bottom