tz1
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 2,122
- 534
USA kwenda Uganda ni ukombozi kwa wa e afrika na pia inategemea unataka mabaliko gani?
USA na UK wametumi ujanja kuweza kubalisha fikra za wa Afrika ya juu na kukubalisha utawala wao.
Wameshindwa Somalia,na wamefanikiwa Sudani ya kusini na Afrika ya juu.
Sasa wapo Uganda na njiani kwenda Kongo,
Inamaana gani ?
Si muda mrefu Afrika ya mashariki na kati tutakuwa na maandamano ya kupinga serikali. USA na Uk wata
saidia chini chini kama walivyo fanya Afrika ya juu na itakuwa kwa nchi zote kwa pamoja za mashariki na kati
na hapo itakuwa mwisho wa serikali zetu.
Baada ya hapo ni wataenda kusini ya Afrika wa kwannza ni Jogoo la Afrika Muheshimiwa R mugabe.
Baada ya hapo tunarudi kwenye utumwa bila kupenda maana Viongozi wetu ni Vilazi.
Afrika ilikuwa na Nyerere na hatunaye tena,Muheshimiwa Gadafi na Mugabe ndo waliobaki na wakitolewa
na USA na Uk tunarudi utumwani,
VIongozi wetu wa Afrika MPO Wapi?
Mtakuja kuaibika kama Ggabo.