Wamesha chagua tra???.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamesha chagua tra???..

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by chriss brown, Feb 10, 2012.

 1. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman tra bado tu?,hawaja shortlist?kwa zile post za 2012.Ambazo deadline yake ilikuwa 16.jan.2012?
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Tayari mkuu
   
 3. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lini mkuu waliita?
   
 4. d

  dundula JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 541
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  inawezekana ikawa tayari ila usikate tamaa mdau, kwa taarifa za uhakika ni kwamba TRA kuna uhaba mkubwa wa wafanyakazi kwa sasa hii ya kutangaza nafasi chache2 ni kutokana na fungu la kuajiri kutolewa kwa awamu kutokana na ukata unayoikumba serikali yetu kwa wakati huu,watatangaza nafasi nyingine soon vuta subira
   
Loading...