maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,402
- 3,174
Asalaam aleykum!
Wanajukwaa Kama mnavyojua kinachooendelea katika nchi yetu kwasasa kuhusiana na vita dhidi ya madawa ya kulevya vinavyoongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,mpaka sasa zimetumika njia mbili za kukabiliana na watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya.
Njia ya kwanza ilikua kutaja majina moja kwa moja kusoma majina ya wahusika,hii njia ilitumika katika awamu mbili yaani awamu ya kwanza na ya pili.
Kiataalamu na kiubinadamu njia nzuri ilikua ya kutaja majina kuliko kutoyataja,faida ya kuyataja majina ni kwamba watuhumiwa wanapata mda wa kujiandaa kisaikolojia hata kuficha ama kupoteza ushahidi.Kwa hii staili mpya ya kumkimbiza mwizi kimya kimya leo kuna watu au mtu atalala moja kwa moja na hii itatokana presha.Maana kwa siku ya leo mpaka saa kumi na mbili jioni kuna watu watakua maeneo ya NAMANGA
NB;Sio kila jambo tulazimishe kutumia busara maana busara ndio iliyotujazia mateja mitaani,uwanja wa mtibwa MANUNGU Tuliani wachezaji hawatulizi mpira chini kama BARCELONA bali wanatafuta ushindi kwakubutua butua na baada ya dakika 90 matokeo ni yale yale yanayopatikana Uwanja wa TAIFA