Wameniharibia kwa mpenzi walioniunganisha naye

Mudi kidato

Member
Nov 25, 2020
24
19
Habar wana jf Leo nimekuja hapa naomba ushaul pia ujifunze kwa hiki kilicho Nikuta

Mm nikijana Wa miak 22 nimetoka Dar nimekuja njombe makambak kufanya maisha sasa wenyej wangu wahapa nivijana tu makamo yangu aah nimeanza maisha ndan ya miez mi2 nikawa na kwangu so yule mwenyej wangu alikuwa na mpenz lakin tukikaa hivi mm nayeye anamponda mpenz wake ooh! Yule simpend namchezea tu kwanza mbaya hajuw kukatika cjuw yule muhehe atajinyonga nikawa namsikiliza kila cku ila...

Kuna siku moja alinambia Vip nikupe namba yake umtongoze mimi nimeachana nae coz simtak mm nikakubal akanipa namba ila kwa mda wote huo hatujawah kukutan na yule mwanamke so hakujua mimi nani BC mtoto wa kitanga nikatupia swagger za dar mtoto kaelewa akawa anakuja home anapika anafua na mambo mengine yule mwenyej wangu kuona mchumba Niko serious nae akamaind alicho kifanya akatuma watu wakamfata yule manz wakampa maneno kwamba mm namtangazia kuwa yeye hajuw mapenz kitandan et mm sinampango wakumuoa namchezea wakafika mbal wakamwambia nimewaambia nampango Wa kumuingilia kinyume na maumbile sasa yule bint bhna alichokifanya akinitumia msg akandika hivi.

Unajua maisha nisafar ndefu sana mm nilikupenda sana najua ckuwah pata mwanaume kama ww lakin kwa hiki ulicho kifanya sitakaa nikusameh kamwe na ukome kunitafuta nakuchukia bak na maisha yako sikuhitaj mudi naumia umeniumiza sana ....Mwisho wakunukuuu

Mm nikamtafuta akawa hapokei simu text hajb da sasa juz nikamvizia anatoka dukan nikamsimamisha nikajarb kuongea nae da amepanic sana kama unskiaga wahehe wanahasira BC kaaukijua wanahasira kwel tena kwel akanambia yoote aliyoambiwa akadai nimuache na maisha yake nimembembeleza sana maana mm nishamzoea nampend ila yote kwa yote cyo vzur kuachan na MTU afu mnachukiana mm nilitafuta mmoja Wa wale waliotumwa kusema hvyo nikampgia cm akanambia kuwa yeye kapangwa aje kunichafua na kapewa elf 15 sasa mm nipambane kumrudisha mwenyew alieniunganisha nd kaharbu yaan hii wik ya 2 mchumba haelew ila yule mshikaj mm ndo alonipokea ingawa sasa ninamaisha yangu siwez kugombana nae wala siwez kuonesha kunak2 haiko sawa ila kila anaiuliza VP mchumba namwambia yuko poah tu.

Ushauri wenu WanaJF nini nitumie ili mchumba haelewi halafu huyu mshikaj pia sitaki kugombana nae.

Karibuni......😨
 
Pole sana,hayo makuzi yapo sana kwa umri wenu huo.
Cha kufanya.

Muite huyo mwanamke,muelezee kila kitu kuanzia mwanzo tokea yupo na jamaa yake,

Alivyokupa namba,hadi vile anawaonea wivu .na mpaka alivyotuma watu na kuwalipa.

Akielewa mpange asijihusishe na mwana wala washikaji zake .akikubali piga mimna sasa
 
Back
Top Bottom