Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
Wakubwa leo ni siku ya kuazimisha(kusikitika) UKIMWI Duniani na takwimu za WHO ni kuwa hadi sasa takribani watu milioni 20 wamekwiha poteza maisha kwa uongonjwa huo tangu 1981 ulipogundilika.Lakini najiuliza hivi kwa kipindi hicho wamezaliwa watu wangapi hadi sasa,Lakini tuchukue hatua ukimwi inauaByabato