Wamegeuka Makaburu,ipo siku watahuzunika peke yao ili hali wengine wakifurahia na kuwaambia kiko wapi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,321
Katika maisha kuna mambo yakikusibu hata uwe tajiri na mwenye uwezo wa kupata kila kitu bado utahitaji msaada wa watu.

Kwa mfano,ukiwa tajiri na bahati mbaya ukifiwa utahitaji kufarijiwa na huwezi kuzika mwenyewe hata kama unamiliki mabilioni bali utahitaji zaidi faraja na pole kutoka kwa jamii wakiwemo hata masikini.

Nasema hivi kwasababu hivi sasa kuna watu wamejisahau wakidhani wataishi milele ila nawaambia kuna siku yatawakuta na badala ya kupata faraja mtaambulia kejeli,kubezwa na kuchekwa kutoka kwa wale mnaowakekjeli leo.

Kuna mtu kaamua kuishi kama kaburu ila nasema siku yakimkuta mtaona hizo comments kutoka kwa jamii maana kwa wengi itakuwa ni sawa na kupoteza mnyama wa kufuga na si mtu.

Wakati mnahuzunika wengi watawakejeli na kiwaambia kiko wapi.
 
Katika maisha kuna mambo yakikusibu hata uwe tajiri na mwenye uwezo wa kupata kila kitu bado utahitaji msaada wa watu.

Kwa mfano,ukiwa tajiri na bahati mbaya ukifiwa utahitaji kufarijiwa na huwezi kuzika mwenyewe hata kama unamiliki mabilioni bali utahitaji zaidi faraja na pole kutoka kwa jamii wakiwemo hata masikini.

Nasema hivi kwasababu hivi sasa kuna watu wamejisahau wakidhani wataishi milele ila nawaambia kuna siku yatawakuta na badala ya kupata faraja mtaambulia kejeli,kubezwa na kuchekwa kutoka kwa wale mnaowakekjeli leo.

Kuna mtu kaamua kuishi kama kaburu ila nasema siku yakimkuta mtaona hizo comments kutoka kwa jamii maana kwa wengi itakuwa ni sawa na kupoteza mifugo na si mtu.
Negative Ideas, Salary slip wewe ni moja Kati ya watu Zero brain humu Jf, Unaishi kwa kujifariji Sana

Sasa unasema IPO siku, sisi inatusaidia nini hiyo siku, Acha watu Wale maisha yao na uchaguzi

Kama ipo siku basi nenda kamtafute Issac Newton aje kufundisha kizazi cha sasa cha sayansi

Mkuu Hakuna fair play kwenye Maisha hata wewe hapo unachart na smartphone wengine hawana wanasema ipo siku?

Try to be positive sasa ulitaka ishinde chadema au?
 
Usiombe maisha yako yawe magumu kwa kusababishwa na mtu ambaye yeye hata hajui kama IPO siku atalala njaa wala kuishi kwa kubahatisha.

Lakini , hata aishi kwa utajiri gani IPO siku moja atalipia hiyo gharama tu.

Tuko kwenye foleni ya kila jambo.
 
Povu, Wasiokuwa na vyama wanawaona nyinyi mna matatizo kwenye medulla oblangata, Mnapotupigia kelele wakati wa kampeni tusiokuwa na vyama hatulalamiki, Mpigwa jua majukwaani wenzenu wamewahi maji ya kuoga, Na wamewamaliza chadema kisawasawa

Leo chadema mmepigwa kitu cha maana shameless political party
 
GUSSIE ,
Mkuu,
Samahani, unanifahamu !?

Una uhakika Poise, ni mwanachama wa chama chochote kile cha siasa hapo Tanzania!?

Au umekosea kunakili comment yangu!?

Niombe msahamaha.
 
Back
Top Bottom