Wamechemsha vibaya

Humphnicky

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
2,154
2,000
Mtandao wa Goal.com umechemsha vibaya baada ya kusema kuwa Claude Makelele ni kipa , wakati ukweli halisi mchezaji huyo ni kiungo
attachment.php
Claude Makélélé - Wikipedia, the free encyclopedia
 

Attachments

  • wamechemsha.JPG
    File size
    164.5 KB
    Views
    96

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,787
2,000
Nlidhani haya mambo yapo huku Uswahili kwetu tu ambako tunaitwa watu tusio m akini, kumbe hata ughaibuni wanachemsha ehhh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom