Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by General Nyange, Nov 16, 2011.

 1. G

  General Nyange Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Furaha ilioje UDSM! baada ya wanafunz 41 waliokamatwa na wengine waliojikamatisha wamekutana Rev Sqre na kuwashukuru wote walioshirik mgomo barid wa kutoingia darasan kwa malengo ya kuwarudisha na kuwaweka huru wanaharakat hao waliopelekwa segerea, then kisutu! Sasa UDSM mambo swari.. Nmeamin kwamba "NO RYT WTHOUT FYT IN TZ" kwan kama sio mgomo huo wasingeachiliwa 4eva
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sasa madai yenu ya mwanzo yemesikiliza?
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,279
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kazi nzuri vijana. Ni mwendo wa kuwashinikiza tu mpaka kieleweke
   
 4. G

  General Nyange Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona yanashugulikiwa kwa kasi kubwa xana kwan mpaka sasa wanafunz zaid 140 wa Udsm wameekewa BOOM. Na bado wanaendelea kuweka, wakisitisha kama kawa 2NALIANZISHA TENA
   
 5. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,412
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Good news! Aluta continua!
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Safi hizo ni habari mbaya kwa wasiopenda watanzania wengi wasijikomboe, lakini ni habari njema kwa watanzania wengi ambao bado wanaishi chini ya dola moja kwa siku, pamoja na kwamba serikali yao inajiita ya kidemocrasia lakini imeshindwa kuwatumia wataalamu iliyowasomesha kwa kodi za wavuja jasho hao hao kubuni na kuibua miradi yenye kuinua kipato cha mtanzania mmoja mmoja.

  Vijana UDSM siku zote nyie ndo ROLE MODEL ya kudai haki za wanafunzi wote nchini, mkilala nyie basi mnatakuwa mnaliangamiza taifa kupitia uwakilishi wenu wa vijana katika elimu ya juu. Kumbukeni, migomo udsm ni sehemu pia ya mafunzo.
   
 7. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli enyi vijana wa UDSM hamna chuo cha kuwaiga hapa Nchini, nawapenda sana vjana wa UD kwa kuwa wengi wenu ni wanaharakati na mnajua jinsi ya kupambana na magamba!!!
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Je wameachiwa kwa masharti gani?
   
 9. G

  General Nyange Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli umeongea k2, na watanzania wote hasa wanafunz wa vio vikuu wanaamin kua bila UDSM haki zao kapun! Penye ukwel 2ambizane, kwan kama sio mgomo wa UDSM boom lisingepanda from 5000 to 7500tsh per day. Pia sasa hiv 2nampango wa kutetea taifa kwa ujumla kwan viongoz weng wa nchi hii wanataka kuliangamiza taifa kwa manufaa yao binafs. Ha2tavumilia hili hata kidogo, pia nawaomba wanachuo wengine wa vio mbalmbal muige mfano wa UDSM na muondoe hizo mentalities kwamba mnasoma ili muajiriwe, siyo kwel..! BALI 2nasoma ili 2weze kupambana na challengez zinazo2face., na moja ya hizo challengez ni kudai hak ze2 pale 2naponyimwa, na pia kuwatetea wenze2 haki zao ambao hawakupata bahat ya kusoma elim ya juu., kwa pamoja 2naweza! 2simame kidete kwa haki sawa kwa kila Mtanzania! "MNYONGE MNYONGENI LAKIN HAKI YAKE MPENI" ameiiiin...!
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  huu uandishi wako umekaa kiajabuajabu. Kweli Elimu imevamiwa. Jaribu kuwa makini ktk uandishi wako. Wewe ni university material. Acha kutuandikia kama mtu ambaye hajasoma.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kwa walichokipata hawatakaa warudie tena kugoma.

  Wakirudia tena, hakuna haja ya kuwapeleka polisi. Ni kuwatimua chuo. Waende wakaanzishe migomo huko kwao.
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Wenzenu walichokipata huko hizi siku 7 walizokaa rumande hawatakaa waje wasahau....na ukute wengi wao hawakugoma walikutwa wanasoma kwenye vimbwete!!!wamesota jela wamelala na majambazi....wameona dunia mpya kabisa maishani mwao!!!acheni nyie kule sio kabisa ni dunia nyingine kabissssaaaaaa!!!!!!
   
 13. G

  General Nyange Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ujumla hana mashart kwan mwanzon waliambiwa ili wawekewe dhamana kila kichwa kilipiwe Tsh1,000,000, ila wanachuo 2kapinga hilo swala strogly, ingawaje wapo wachache waliolipiwa kiasi hicho na wazaz wao..,few activist hav bn suspended ila lazma wawekwe huru pind 2 bodi ya chuo itakapo kaa! Unlec otherwise 2talianzisha tena kwan walikua wanadai hak za wenzao waliokosa mkopo na sio kwa maslahi yao binafs, hivyo basi, nasi 2 pamoja nao kwa kiwaliku sawa kabisa kudai haki za walionyimwa! "The ryt delayed is the ryt denied nd we'r against it"
   
 14. G

  General Nyange Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwahiyo unaona wao ni wajinga au walikua wanadai upumbavu! Jichunge, acha kuonge nonsenc! Hujui lolote na unaihitaji kuanza nursary xul na cjui itakuchukua muda gani ili nawe ufike UDSM ukajionee mwenyewe. Badilika la sivyo itakucost,., "Asiejua maana asiambiwe maana" wanaJF 2shakuchoka kwa upumbavu wako.
   
 15. S

  SIXPLANET Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Post zako zinakera sana hebu pima kitu unachoandika kama kina fanana na elimu ulinayo maana nishapata wasiwasi na ELIMU YAKO.
  Na migomo udsm haikuanza leo tutagoma sana tuta andamana sana, tukidai masilai ya watanzania. Nyie sasa mnaofaidika na mfumo mbovu, mme tumwa humu ndani kuvurungu mada za msingi ipo siku mtatafuta pakuji ficha.
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  angalia usije uka-disco, badala ya kusoma we kila saa upo jf kupost maswala yasiyo na kichwa wala miguu.

  Nakushauri usome, wanaharakati walikuwepo enzi ya kina Mtatiro sio nyie wapaka poda.
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  anyway
  nakushauri usome, jukumu la kujikwamua kimaisha lipo mikononi mwako.

  Acheni dhana ya kujiona kama serikali inawakosea kila mara.
   
 18. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahah kweli wamebana wameachia. HAKUNA NGUVU KUBWA YA KUZIDI UMMA.
   
 19. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ...Acha story za kwenye kahawa wewe! umewahi kukaa rumande na kama ulikaa ulifanywa nini hata mpaka leo hujasahau? Hivi kuna tofauti gani ya Rumande na kuwa huru huku ukiwa unaishi kwenye giza sababu ya mgao wa umeme/au huna uwezo wa kuunganisha umeme, maji yanatoka saa sita usiku yanakatika saa 11 asubuhi, mshahara wa kuunga unga nk? wewe unapaswa ujihurumie kuwa baada ya muda wote uliutumia shule leo bosi wako umeku assign ushinde kusoma JF kwa kutumia ID tofauti na kuandika pumba kama strategy yenu ya ku counter mabadiliko Tanzania.......Dont think you can fool people na ID zenu mnazo share humu 24/7 mnasoma na kupost negative comments. In short you have been asked to act DUMB! Hata mke ako na watoto wakijua kuwa unaamka asubuhi kwenda kazini kufanya hiki unacho fanya watakudharau sana.....SHAME ON YOU!
   
 20. G

  General Nyange Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kwel NYAU! nshakwambia 'maada za WASOMI WAACHIE WASOM WAJADILI' kwani kwako unaona upumbavu coz ya ujinga wako, ILA swala la CAMERON mjinga kama wewe amelikubal 100%..., zezeta wewe!
   
Loading...