Wameanza kuomba tender ya kuchonga Sanamu la Hayati Magufuli kwa ku-present kazi walizofanya awali

Si wampe kigwangwala anajua wataalamu wa kutengeneza hayo masanamu,hamkumbuki ile ya nyerere
Nakumbuka kule Mwanza, ilichongwa sanamu ya Mwalimu Nyerere na kuwekwa round about pale CCM mkoa, watu wakaikataa na kudai ni sanamu ya mtu mmoja maarufu pale Mwanza, aitwae MASALAKULANGWA! Hatimaye iliondolewa!
 
Wangetumia sehemu kubwa ya hiyo pesa ku mordenize kijiji kimoja labda Dodoma huko na kukiita Magufuli modern village na picha yake katika lango kuu ingeleta maana. Habari ya masanamu tuachane nayo.
 
20201228_152034.jpg
 
Back
Top Bottom