Wameachana

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Penzi lililojipatia umaarufu mkubwa mitandaoni kati ya msanii Grand P na mwanadada mwenye shepu ya aina yake "Eudoxie" limefika tamati.

Eudoxie ametangaza kuwa
wameshindwana, huku sababu ikidaiwa ni tabia ya Grand P kupenda kuchepuka na kinadada wengine hali ambayo imekuwa ikimnyima raha Eudoxie na sasa kuamua kuachia ngazi kwa jamaa huyo. Hii imezid kuwa kichekesho zaidi hasa ukizngatia Grand P alivo unajiuliza alikuwa anachepuka kutafuta ninii?

FB_IMG_1627416811504.jpg
 
View attachment 1870908
Hivi si alikuwa anaishia kwenye mashavu tu bingwa?
 
Hapo sioni cha kushangaza, siku zote kina dada hawanaga mapenzi na wanaume, wao wanafuata msosi tu (hela). Atakutumia vile anavyotaka, kila siku kubadilisha nywele, kucha, kujichubua na kuota ndevu za kujitakia, ukiishiwa anasepa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom