Wambura : Simbai Kwanza!!!

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
1,030
1,412
Michael Richard Wambura katika waraka aliousambaza kwa TFF,Mwenyekiti SSC na wajumbe kukubaliana na uteuzi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba amewataka wapenzi na wanachama wa SSC kuwa kitu kimoja "Simba kwanza" - kuifanya Simba kuwa kitu kimoja.
Na sisi tunasema Karibu 'jembe' . Kujikwaa si kuanguka,Wale wasioitakia mema Simba watapoona tunaanza kuungana na kujiaandaa ipasavyo na ngwe ya pili wataanza kuweweseka! Kupambana na Simba isiyo na migogoro kunaogopesha sana asikwambie mtu!! Unaweza kulambwa 5 - 0 hivi hivi unajiona,usibishe waulize ndala watakwambia iyo habari!!!!!
 
wambura na rage si ndio waliwekeana pingamizi wakati wa uchaguzi huyo jamaa hana chochote mwisho wa msomali umefika sasa hivi anateua wajumbe hovyo ili apate watu wa kumsapoti wakati anamteua malkia wa nyuki alisema anafanya hivyo kutimiza wajibu na kanuni mjumbe mmioja anatakiwa awe mwanamke sasa amejiuzuru sijui wambura amebadilisha lini jinsia
 
We lazima utakuwa adui wa mnyama sasa unataka kuwachonganisha Wambura na Rage.SSC sasa wanataka kujipanga kwa kiumoja - SIMBA KWANZA!!
wambura na rage si ndio waliwekeana pingamizi wakati wa uchaguzi huyo jamaa hana chochote mwisho wa msomali umefika sasa hivi anateua wajumbe hovyo ili apate watu wa kumsapoti wakati anamteua malkia wa nyuki alisema anafanya hivyo kutimiza wajibu na kanuni mjumbe mmioja anatakiwa awe mwanamke sasa amejiuzuru sijui wambura amebadilisha lini jinsia
 
Michael Richard Wambura katika waraka aliousambaza kwa TFF,Mwenyekiti SSC na wajumbe kukubaliana na uteuzi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba amewataka wapenzi na wanachama wa SSC kuwa kitu kimoja "Simba kwanza" - kuifanya Simba kuwa kitu kimoja.
Na sisi tunasema Karibu 'jembe' . Kujikwaa si kuanguka,Wale wasioitakia mema Simba watapoona tunaanza kuungana na kujiaandaa ipasavyo na ngwe ya pili wataanza kuweweseka! Kupambana na Simba isiyo na migogoro kunaogopesha sana asikwambie mtu!! Unaweza kulambwa 5 - 0 hivi hivi unajiona,usibishe waulize ndala watakwambia iyo habari!!!!!

Mkuu pokea ushauri wa bure. Una kipaji halisi cha kutunga mashairi ya taarabu, wewe ni zaidi ya Nasma Hamis. Unatisha mkuu.
 
Hii ni kauli ya Michael Wambura mkuu 'Simba Kwanza' sio yangu! Umeeshaanza kuogopa?Nyie mnataka timbwili liendelee!!!
Mkuu pokea ushauri wa bure. Una kipaji halisi cha kutunga mashairi ya taarabu, wewe ni zaidi ya Nasma Hamis. Unatisha mkuu.
 
Mkuu mnyama Simba asiye na migogoro anatisha!!take it from me! Lakini kama nyie pia hamna migogoro basi anaweza ishia 4 - 0.
Mimi sio kandambili kama ufikiriavyo, lakini naamini hakuna baina ya timu mbili hizo mweye uwezo wa kumfunga mwenzake zaidi ya 3-0 bila ya msaada wa migogoro au ufisadi (ukiwamo uchawi kwa wanaouamini) kupita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom