Wambura atangaza kuachana na soka, kupandishwa kizimbani leo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kumshikilia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Michael Wambura kwa tuhuma za rushwa na leo itamfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

> Wakati huohuo Wambura kupitia kwa wakili wake Emmanuel Muga ametangaza rasmi kuachana na masuala ya soka.

WhatsApp Image 2019-02-11 at 9.28.41 AM.jpeg

Zaidi>> Michael Wambura afikishwa Mahakamani Kisutu na kusomewa makosa 17 ikiwemo utakatishaji fedha - JamiiForums
 
Amechukua uamuzi sahihi, nguvu zake sasa hajikite kwenye kujiajiri.

Yule msòmali anataka kupiga dili pekè yake
 
Back
Top Bottom