Wamasai na Nguo za Rangi rangi, hivi hawa ndio watunzi wa rangi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamasai na Nguo za Rangi rangi, hivi hawa ndio watunzi wa rangi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 4, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hawajui ku-match rangi , so what the see, they just add up unknowingly.
   
 3. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hao ni copy and paste. original hawa hapa.  [​IMG]
   
 4. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 331
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  May be ni strategy flan kwenye mazingira wanamoishi, sidhan kama hakuna explanation behind
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mh!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  hao si wamasai..jombaa unakurupuka tu kama umekimbizwa toilet...wamasai hawavai nguo wala urembo wa namna hiyo..huwa wanavaa rubega za rangi nyekundu, na wanawake za bluu..umechemka mzee kajipange upya..accessories zenyewe sio hizo..hayo yatakua makabil amengine ama wabarbaig ama makabila ya kule sudan karibia na mto nile...ila sio wamasai..
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Hawa ni kabla moja lipo pembezoni mwa Jiji la Nairobi Nchini Kenya na ni jamii ya Wamasai na hata wanasikilizamwa lugha lakini asili yao ni Samburu!

  Wameshikilia mila sana kama hao hao Wamasai!
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Aiseee lol
   
Loading...