Babb-Babbjrtz
Member
- Feb 13, 2012
- 57
- 7
Wadau mi nataka kujua hawa wamasai wanauza dawa za kweli au na wao wamekuwa n ujanja ujanja wa mjini mjini!!!! Manake wamekuwa wengi sana kwenye biashara hii, mliokumbana nao na mkapata vidonge mtuambie.

angalia usipewe maranda...
kuna masai daily alikuwa anakuja pharmacy kwetu kununua dawa za malaria, pumu.maumivu, tumbo etc akawa rafiki ye2 kuna siku akatoa siri zile dawa anazisaga na kuongezea ktk mitishamba yake
mjini apaa akili kumkichwaa:crazy: