Wamasai na dawa za miti shamba

Babb-Babbjrtz

Member
Feb 13, 2012
57
7
Wadau mi nataka kujua hawa wamasai wanauza dawa za kweli au na wao wamekuwa n ujanja ujanja wa mjini mjini!!!! Manake wamekuwa wengi sana kwenye biashara hii, mliokumbana nao na mkapata vidonge mtuambie.
 
Kuna mtu nimemsikia analalamika aliuziwa dawa na wamaasai wanadai ya kuondoa ndevu kidevu kinakuwa safi kabisa. Baada ya kutumia ndevu zikawa zinaota nyingi zaidi badala ya kwisha.
 
katika hali ya kawaida mgonjwa ndiye huwa anayefuata tiba na si mtoa tiba kumtafuta mgonjwa kama wanavyofanya hawa jamaa zetu wavaa lubega.hawa jamaa wamekuwa wasanii siku hizi hivyo msitumie dawa zao ambazo hazijathibishwa kitaalamu.
 
Dah ni kweli hata mie jamaa alifuata akadai kitu yako itakuwa kubwa ila mpaka leo ipo vile vile tu, washakuwa wajanja hawa
 
kuna masai daily alikuwa anakuja pharmacy kwetu kununua dawa za malaria, pumu.maumivu, tumbo etc akawa rafiki ye2 kuna siku akatoa siri zile dawa anazisaga na kuongezea ktk mitishamba yake
mjini apaa akili kumkichwaa:crazy:
 
Mimi huwa natafuta ya kufanya iwe ndogo lakini hawana kabisa
Wadau mi nataka kujua hawa wamasai wanauza dawa za kweli au na wao wamekuwa n ujanja ujanja wa mjini mjini!!!! Manake wamekuwa wengi sana kwenye biashara hii, mliokumbana nao na mkapata vidonge mtuambie.
 
kuna masai daily alikuwa anakuja pharmacy kwetu kununua dawa za malaria, pumu.maumivu, tumbo etc akawa rafiki ye2 kuna siku akatoa siri zile dawa anazisaga na kuongezea ktk mitishamba yake
mjini apaa akili kumkichwaa:crazy:

masai ndo wananipa ujasiri wa kuish mjin,,,,kama yeye anaish kwa kusaga dawa,y not me,,,kwa sasa wanauza vocha na pipi tu .....HAYO NDO MABADILIKO YA TABIA NCHI
 
Waongo wale kuna jamaa alinunua dawa ya kupunguza unene kumbe kapewa dawa ya kuongeza makalio unajua kilichotokea?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom