Wamarekani weusi

wazanaki

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
1,092
804
Wakuu hawa watu na wanamiminika bongo kwa wingi.

Ni jambo la kufurahisha sana kuona ndugu zetu wanarudi nyumbani. Lakini pia kuna wadau ambao mnakutana nao na mmeisha tengeneza nao urafiki.

Mnaweza kutuelezea kuwa wakati mkiongea nao huwa wanasema ni nn kimewapelekea kuhama kwa wingi. And why tanzania, na je, wanatambua uwepo wa economic warfare?

Na kama wanatambua wamejiandaa vipi kushirikiana na afrika kufikia target.

Karibuni wakuu
 
Wakuu hawa watu na wanamiminika bongo kwa wingi. Ni jambo la kufurahisha sana kuona ndugu zetu wanarudi nyumbani. Lakini pia kuna wadau ambao mnakutana nao na mmeisha tengeneza nao urafiki.
Mnaweza kutuelezea kuwa wakati mkiongea nao huwa wanasema ni nn kimewapelekea kuhama kwa wingi. And why tanzania, na je, wanatambua uwepo wa economic warfare? Na kama wanatambua wamejiandaa vipi kushirikiana na afrika kufikia target.

Karibuni wakuu
Kuweni makini na wanigeria
 
Kuna mshkaji mmoja ana Youtube Channel "Go Black To Africa" mfuatilie.

Jamaa alikuwa jeshini US Air Force, anazunguka Africa, amepapenda sana Bongo inaelekea.

Alivyofariki Magufuli alisema anajisikia kama rais wake kafariki. Hajisikii kama Biden ni rais wake.

Anajisikia raha sana kuwa nchi ambayo ni ya watu weusi.

Hapa alikuwa anafagilia Zanzibar. Anawaringishia walio Marekani wakati huo Marekani baridi sehemu nyingi, kwamba yeye yupo Zanzibar sehemu yenye jua zuri bila baridi.

Jamaa alikuwa jeshini US Air Force, qnazunguka Africa, amepapenda sana Bongo inaelekea.

Alivyofariki Magufuli alisema anajisikia kama rais wake kafariki. Hajisikii kama Biden ni rais wake.

Anajisikia raha sana kuwa nchi ambayo ni ya watu weusi.

Hapa alikuwa anafagilia Zanzibar. Anawaringishia walio Marekqni wakati huo baridi sehemu nyingi, kwambq yeye yupo Zanzibar sehemu yenye jua zuri bila baridi.

Atakuwa babu yake alichukuliwa Tza zama za utumwa
 
Ukijikubali watakukubali tu japo kuna gharama zake. Huu ndo msingi aliouacha hayati na ndicho kimepelekea black america wengi kuvutiwa kuja bongo na si kwingine.
 
Atakuwa babu yake alichukuliwa Tza zama za utumwa
Waliochukuliwa TZ karibu wote walipelekwa Uarabuni. Uhindini na visiwani Mauritus, Re-Union.

Ni vigumu sana kukuta habari ya watunwaliotoka huku ilipo Tanzania leo kuishia Marekani, kuna Wareno walichukua watu Msumbiji, hususan ya kusini, na kuwapeleka Brazil.
 
Kuna mshkaji mmoja ana Youtube Channel "Go Black To Africa" mfuatilie.

Jamaa alikuwa jeshini US Air Force, anazunguka Africa, amepapenda sana Bongo inaelekea.

Alivyofariki Magufuli alisema anajisikia kama rais wake kafariki. Hajisikii kama Biden ni rais wake.

Anajisikia raha sana kuwa nchi ambayo ni ya watu weusi.

Hapa alikuwa anafagilia Zanzibar. Anawaringishia walio Marekani wakati huo Marekani baridi sehemu nyingi, kwamba yeye yupo Zanzibar sehemu yenye jua zuri bila baridi.

Hyu nampata ila inaonekana alikuwa hana clue kinachoendelea nchini tht why alikuwa supporter wa jpm
 
Huyo jamaa anajua kinachoendelea. Kwa sababu huwa anaongelea mpaka matatizo ya uongozi ya Afrika.

Ila, katika saikolojia kuna kitu kinaitwa "cognitive dissonance". Yani ile umekuwa na idea kwa miaka mingi, halafu unagundua ukweli ni tofauti na ulivyofikiri, lakini, kwa sababu umeshaamini kitu kimoja kwa miaka mingi, inakuwa vigumu kubadili msimamo.

Yani ni kama umelelewa na baba mmoja miaka mingi ukiamini huyu ni baba yako mzazi, halafu siku moja ukiwa na miaka 55 baba kafanyiwa DNA test ikatokea si baba yako mzazi. Hapo lazima uanze kuihoji hiyo DNA test.

Jamaa anaweza ku justify kumpenda Magufuli kwa sababu Magufuli ni mpinga mabeberu, na yeye hawapendi hao mabeberu kaja Afrika kuwakimbia. Kwa hiyo mapungufu mengine ya Magufuli atakwenda nayo tu, kwa sababu alishakubali na kuwasa wenzake kwamba Afrika kuna changamoto nyingi, wasifikiri wakija huku watakuwa na maisha ya raha mustarehe.

Changanoto moja ni uongozi.

Kuna Mzee Pete O'Neal wa Arusha alikimbia Marekani miaka mingi akakaa Arusha. Alikuwa Black Panther. Yule mpaka Kiongozi wa Black panther Geronimo alikuja kumtembelea Arusha wakafanya mpaka documentary.

Kuna David Robinsonn mtot wa Jackie robinson (mcheza baseball maarufu Marekani, alikuwa mtu mweusi wa kwanza kucheza ligi kuu ya baseball Marekani, mtu maarufu sana). Huyu yuko Mbozi Mbeya huko. Yuko Tanzania takriban miaka 38 sasa nafikiri, analima kahawa na wanavijiji na kuuza Marekani.

Kuna kina Ras T na Ras bupe walikuwa enzi za Nyerere, hawa wengi walikuwa Wa Jamaica kutoka Uingereza waliamua kuishi na kustaafu Tanzania.Nyerere aliwapa mashamba bure kama watoto wa Africa waliorudi nyumbani.

Ila kwa bahati mbaya inaonekana Ras T amekwaazwa na utawala uliopita mpaka kaaamua kuhamia Ghana nafikiri kashauza nyumba yake anahamia Ghana.
 
Sasa huyo Ras T amtafute huyo sukumagang wa marekani amuelezee mauzauza ya mwendazake ambayo yalimfanya aishie zake Ghana.
 
Nakubaliana wewe kwa 100% kuhusu goblack2africa kuhusu story kuhusu mzee pete naipata fresh ila hao wengine sikuwahi kuwaskia
 
Back
Top Bottom