wamarekani weusi mashoga kuoana sasa nje nje!

Absolutely 100%. Kama nyumbani mambo mukide kwanini utoke nje?
no, mambo ya home yanabore sometime ok,lakini kwa hawa jamaa nadhani its just to taste other flavour and fantasy nothn else,beside nafikiri there,s no power of love between mwanamke na mwanaume there.
 
Sikushangai. Hatujawahi vaa viatu vya size moja.

na kwa ishu kama hizi tatutaweza kamwe....inaingia akilini kweli kusema eti haya mambo yanasababishwa na mwanamke kushindwa kazi? kazi ipi! unadhani kazi ni kitanda tu....khaa...umeboa aisee.
 
teh teh,shemeji mkali!inaelekea kaka huko home anapata habari yake haswaaaa
 
Absolutely 100%. Kama nyumbani mambo mukide kwanini utoke nje?

wewe nawe haya mambo wengine wanayaanzia udogoni kabla hata hawajaoa...sasa utawaweka kundi lipi?...na wewe mkeo akishindwa hiyo kazi unayoizungumzia ndio utachukua hatua hii?
 
na kwa ishu kama hizi tatutaweza kamwe....inaingia akilini kweli kusema eti haya mambo yanasababishwa na mwanamke kushindwa kazi? kazi ipi! unadhani kazi ni kitanda tu....khaa...umeboa aisee.

Sasa wanapoenda kwa wanaume wenzao wanaenda kutafuta mapishi? Sio ile kitu ambayo mmeshindwa kuwapa itakiwavyo?
 
WHAT A WASTE!
Mungu kawaumba vizuri kwa kila namna... wanaume waliokamilika.... wanatafuta nini kujiingiza kwenye machukizo ya kutisha hivi?
Mungu ana subira sana na wanadamu.....
Damn Right...wana-bore ile mbaya...aibu,ujinga, upuuzi, name it!
 
Mimi naelewa kuwa ili uume uingie katika tundu lazima usimame vizuri. Kusimama vizuri kwa uume kunasababishwa na hisia(maandalizi kiakili).Kwa asili mume akimwona mwanamke (hasa katika hali ya utupu) ni rahisi kupata msisimko utakaopelekea kusimamisha uume.Sasa kuna kitu huwa sikielewi kwa hawa mashoga anawezaje kusimamisha (stimulate)uume kwa kutazama maumbile ya utupu ya mwanamume mwenzake.Naamini lazima uwe kichaa kulitekeleza hili.
 
Lol! Ntakuhitaji kwenye Bachelor Party ya mtumishi mmoja anaitwa Masanilo.
 
Yaani mianaume mizima na mamisuli yao inathubutu kunaniiiwa na mwanaume mwingine. Hii ni pepo kabisa Shindwa kabisa ila wasilegee maana wakilegea ndo inakua mbaya zaidi.

I hope hakuna akaewatetea katika jamvi hili.
 
mie naona bora msiwe mnayaleta huku haya...manake watu ndio wataanza kufatilisha...
 
Back
Top Bottom