wamarekani weusi mashoga kuoana sasa nje nje!

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,107
16,002
Mike+%26+Jamil+6.jpg
Mike+%26+Jamil+5.jpg
Gay+Wedding+4.jpg
10421_1121673723385_1273326271_30307401_425657_n.jpg
Mike+Jamil+kiss.jpg
Wedding+2.jpg
ydifm_church.jpg

1x11641082.jpg
ydifm7.jpg
ydifm1.jpg

naona jamaa wameamua kama noma na iwe noma yani hii inatia kinyaa kabisa na hii ni zaidi ya sodoma na gommorah
 
ACHA Waoane huko mabarabarani, Mi ningestuka sana endapo wangekuwa kwenye Kanisa la Mungu lenye Msalaba. .............Lakini kamwe hamtazitimiza tamaa za mwili.......(not sure of the verse)
 
nakumbuka juzi uliongelea hili swala

Sure ..niliongelea, nikikiazia kwamba maadili ya dunia yamekosa mwelekeo, na kwamba tutayarudisha vipi...Lakini, kwa watu kama hao kwenye picha,wana akili, wana pesa, wana maamuzi ya mtu mzima, kisha wanaamua kufanya upumbavu wa hivyo, kwakweli hakuna jinsi ya kuwasaidia!Acha wakimbize upepo, sidhani kama wataukamata! Shame on them,...Shiit! Wanazidhalilisha suti na tai za bei mbaya!
 
WHAT A WASTE!
Mungu kawaumba vizuri kwa kila namna... wanaume waliokamilika.... wanatafuta nini kujiingiza kwenye machukizo ya kutisha hivi?
Mungu ana subira sana na wanadamu.....
 
WHAT A WASTE!
Mungu kawaumba vizuri kwa kila namna... wanaume waliokamilika.... wanatafuta nini kujiingiza kwenye machukizo ya kutisha hivi?
Mungu ana subira sana na wanadamu.....
yani this people are craaaaazy,sometime nashindwa kuwaelewa black american i,see.sijui ni ununda,ushamba,freedom au vp?
 
yani this people are craaaaazy,sometime nashindwa kuwaelewa black american i,see.sijui ni ununda,ushamba,freedom au vp?

Hawa watu wamechanganyikiwa...hata wale waliooa unakuta wengine wako hivi kwa siri...ni aibu sana kwa watoto na wake zao.Hawa wameamua kuuchuna uso na kujitangaza waziwazi,,, Kichefuchefu kinatokana na jinsi walivyo - mijitu ya miraba halafu inakumbatiana bila haya!
 
Mimi naamini kabisa na ninavyowaona hawa jamaa walishawahi kuwa wafungwa na wakajifunza huu mchezo huko magerezani. Ukiangalia kipindi cha BBC kinachowahoji wafungwa wa Kimarekani wanasema hukutana magerezani na kufanya huo mchezo mchafu kwa hiyo hata baada ya kutoka gerezani huwa wamenigewa na kuendeleza wakiwa nje.Hao ni ma criminal,hawana ubinadamu.
 
ok kuna hii niliona mahali,lil wyne na baby bash nikadhani wanatania sasa nimepata ukweli
lil-wayne-kiss1.jpg
 
Sio weusi peke yao, hata wazungu nao mashoga. Huu kweli sasa ni mwisho wa dunia mbaya zaidi hawa mashoga wanafanya adoption ya watoto, na serikali nayo inaruhusu. Hivi kweli mtoto atajifunza nini akiwa adopted na hawa mashoga au lesbian? Mungu atusaidie kweli sisi wanadamu, sehemu tulipofikia hata sodoma na gomora sidhani kama ilifikia hatua hii.
 
natassia-dreams.jpg

sasa kuna hii midude(she-male)ukiliona utajua kama ni dume limeotesha michuchu na **** kwa dawa za wachina?unamuona ka demu kifaa hakyanani badae mmmh siri yako
 
aaaargh lap yangu leo ina suck picha zinatoka nje ya uwanja sorry
 
Haya madude - jike-dume nayo ni chukizo tu kwa MUNGU!
Wenye kuyashabikia nao wataonja ghadhabu ya Muumba.
 
yaani inackitisha sana jamani, mbona wakaka wazuri hivyo wamekosa nini kwenye hii dunia? cjui Yesu anarudi lini.
 
Back
Top Bottom