Wamarekani wengi kusoma Tanzania badala ya Kenya

Fanya utafiti zaidi wa kina . Ninachojua Kenya wametuzidi kielimu na kiuchumi , labda useme Waamerika wapo wengi kujifunza kiswahili pamaja na amani yetu . Hata hivyo kuna mashindano ya kuandika insha kwa kiswahili siku za nyuma Kenya wakatushinda , kulikoni !! Kwa awamu hii tukiwa makini tunaweza kulingana nao hata kuwapita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wao wapo kwa shughuli zao muhimu na nyeti, usifikiri kila mwanafunzi ni mwanafunzi wengine ni wanafuuuunzi.
 
Wengi wao wapo kwa shughuli zao muhimu na nyeti, usifikiri kila mwanafunzi ni mwanafunzi wengine ni wanafuuuunzi.
Hilo linaeleweka ila hijiulizi kwa nini S.A, Ghana na Tanzania lakini isiwe Botswana au Kenya?
 
Mimi naweza sema hivi kwa elimu ya shule ya msingi mpka form 4, kenya wanatupiga magepu tena makubwa ila kuanzia advance to University huo moto hawauwezi hata kidogo na wanotoka nnje kuja kusoma huku wengi ni University

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom